Soko la ajira limekuwa gumu sana kutokana na elimu ambayo mwanafunzi wa shule za kitanzania huanzia darasa la kwanza hadi chuo lakini hushindwa kustahimili soko la ajira na kupelekea ongeza la wanafunzi wengi wanaomaliza vyuo kwenye ngazi mbalimbali kukosa ajira . Je changamoto ipo wapi wadau?