Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 7,093
- 10,469
Dunia hii ukiona mtu mweusi anatembea kibabe na kujiamini basi ni aidha Black Amerikan au Mtanzania hayo ni maneno ya mgeni mmoja alieyeitembea Dunia ikiwemo Tanzania pia.
Globalist kaogopa, katishwa na Tanzania, sisi ndiyo nchi pekee ambayo ilikuwa haipindiki kama mti wa mpingo, Elimu ya Tanzania inatoa vyuma kama Magu, Mkapa, Bashiru, Kabudi, Polepole, Slaa na wengineo, Mzungu kaona ili kuichukua Tanzania kama alivyofanya kwingine tuanze na kuibomoa Elimu yao, na wameanza kweli, lkn sidhani kama wataweza its too late tutaibuka tena na kuichukuwa Tanzania yetu, …