jonathan beda
Member
- Feb 12, 2013
- 6
- 0
kwa utafiti unavyo onesha elimu ya Tanzania haiwaandai wanafunzi kukabiliana na mazingira yanayo wazunguka bali kukaa na kusubiri kuajiliwa, je kwa mwenendo kama huu tutafika kweli???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa utafiti unavyo onesha elimu ya Tanzania haiwaandai wanafunzi kukabiliana na mazingira yanayo wazunguka bali kukaa na kusubiri kuajiliwa, je kwa mwenendo kama huu tutafika kweli???
Hapa tuna andaa maandamano yasiyo na tija. Elimu ya kweli ni ile ya Elimu ya Kujitegemea na FTC. Ukiangalia hata nchi kama China na South Korea elimu ya Kati wameipa nguvu sana na ndio inamchango mkubwa ktk maendeleo. Sasa hivi kila mtu anasoma ili aajiriwe. Na akiajiriwa anashindwa kudeliver. Tuangalie upya mtaala wa elimu Tz.