Elimu ya Uganda na Uzalishaji Mashoga Tanzania

Aya baada ya mjadala Speaker wa Bunge JF,nahoji je,waheshimiwa hoja iyo inaafikiwa?ndiyooo!basi hoja imeungwa mkono,walioafiki wameshinda.Namwita sasa Mhe.SUGU haondoe siwa ili Bunge limalize shughuli zake kwa leo.
 
St. Lawrence ndo inaongoza kwa hayo mambo pia NKUMBA UNIVERSITY ndo vinara wa mambo ya kifir.auni maana wanafunzi wakikosa pesa huishia kugawa MTANDAO PENDWA. Wazazi wenye vijana huko chukueni tahadhari mnatengeneza bomu lisilzimika mtaletewa wachumba wa vijana wenu toka Uganda mzimie. Chonde chonde
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…