Elimu ya Uganda na Uzalishaji Mashoga Tanzania

Elimu ya Uganda na Uzalishaji Mashoga Tanzania

Ukifanya uchunguzi wako kwa makini utagundua vijana wengi waliosoma Uganda ama shule za msingi, sekondari na vyuo (ikiwemo vyuo vikuu) huingia kwenye tabia mbovu ya ushoga tena bila kificho,
Aya
Mtu unabaki unajiuliza huko Uganda katika masomo wanayosoma wanachukua na somo la USHOGA? inasikitisha sana kwa hawa vijana wetu kuamua kwa mashoga baada ya kuhitimu masomo nchini UGANDA.
Aya baada ya mjadala Speaker wa Bunge JF,nahoji je,waheshimiwa hoja iyo inaafikiwa?ndiyooo!basi hoja imeungwa mkono,walioafiki wameshinda.Namwita sasa Mhe.SUGU haondoe siwa ili Bunge limalize shughuli zake kwa leo.
 
St. Lawrence ndo inaongoza kwa hayo mambo pia NKUMBA UNIVERSITY ndo vinara wa mambo ya kifir.auni maana wanafunzi wakikosa pesa huishia kugawa MTANDAO PENDWA. Wazazi wenye vijana huko chukueni tahadhari mnatengeneza bomu lisilzimika mtaletewa wachumba wa vijana wenu toka Uganda mzimie. Chonde chonde
 
Back
Top Bottom