Tunaweza kusema kwamba waganga wa kienyeji wote wanajua uchawi, lakini sio wachawi wote wanajua uganga wa kienyeji.Kuna tofauti kubwa kati ya mganga wa kienyeji na mchawi ila jamii imepotoshwa na sasa haina uwezo wa kuwatofautisha tena na sasa inaishia kuwaweka kaput moja!!
1. Mganga wa kienyeji ni daktari wa asili ambae ametumika kuitibu na kuikinga jamii dhidi ya mabalaa mbalimbali kwa maelfu ya miaka kabla ya ugunduzi na ujio wa hizi hospitali za kisasa. Kumbuka hizi hospitali za kisasa hazina hata miaka 300 tangu kuanza kumhudumia mwanadamu kwa usahihi kabisa.
2. Uchawi na wachawi wapo pia kwa maelfu ya miaka tangu kuumbwa kwa mwanadamu. Mchawi kazi yake ni kuharibu ndio maana vitabu vya dini zote vimeandika mchawi ni mtu wa kuchomwa maana hana faida yoyote kwa jamii. Utakachojifunza kwa mchawi ni roho mbaya na ukatili wa hali ya juu sana.
3. Kuna aina mbili za uganga wa kienyeji, wa kwanza ni ule wa kuoteshwa(kipaji cha kuzaliwa nacho) na wa pili ni ule kujifunza.
- Ukitaka kujifunza uganga wa kienyeji Kuna ada kama zilivyo ada zingine tu, mfano unaweza kuambiwa ada yako ulete Ng'ombe watano, au mbuzi au hela, ni juu ya maelewano yenu.
4. Uchawi ada yake ni moja tu ya damu! Yani ukitaka kujifunza uchawi utaambiwa mtoe mzazi wako au mtoto wako pendwa.
- Ukitaka kujifunza uchawi hutaambiwa lete hela au lete Ng'ombe.
5. Mganga wa kienyeji ni kama daktari wa lei au mwanajeshi ambao kazi yao ni kulinda jamii kutoka kwenye shida mbalimbali.
6. Mchawi ni kama jambazi au muasi kwenye jamii ambao kazi yao ni kuhakikisha kila anayeinuka kwa maendeleo anarudishwa chini.
7. Mganga wa kienyeji wa ukweli hawezi kukaa Meza moja na mchawi ni kama ambavyo jambazi au muasi hawezi kukaa Meza moja na mwanajeshi.
8. Uganga wa kienyeji ni fani iliyoingiliwa kama fani nyingine siku hizi Kuna waganga wa kienyeji feki wengi kama ilivyo trafiki feki, daktari feki, wachungaji feki etc
9. Kwa masikitiko makubwa jamii ya leo haijui kutofautisha kati ya mganga na mchawi. Jamii inajua wote ni wachawi tu.
Mganga ni mchawi, mchezo wa majina tu na wote wanafuga majini, hawatoi jini ila wanaongeza jino juu ya jini kunyamazisha lile la awali.Kuna tofauti kubwa kati ya mganga wa kienyeji na mchawi ila jamii imepotoshwa na sasa haina uwezo wa kuwatofautisha tena na sasa inaishia kuwaweka kaput moja!!
1. Mganga wa kienyeji ni daktari wa asili ambae ametumika kuitibu na kuikinga jamii dhidi ya mabalaa mbalimbali kwa maelfu ya miaka kabla ya ugunduzi na ujio wa hizi hospitali za kisasa. Kumbuka hizi hospitali za kisasa hazina hata miaka 300 tangu kuanza kumhudumia mwanadamu kwa usahihi kabisa.
2. Uchawi na wachawi wapo pia kwa maelfu ya miaka tangu kuumbwa kwa mwanadamu. Mchawi kazi yake ni kuharibu ndio maana vitabu vya dini zote vimeandika mchawi ni mtu wa kuchomwa maana hana faida yoyote kwa jamii. Utakachojifunza kwa mchawi ni roho mbaya na ukatili wa hali ya juu sana.
3. Kuna aina mbili za uganga wa kienyeji, wa kwanza ni ule wa kuoteshwa(kipaji cha kuzaliwa nacho) na wa pili ni ule kujifunza.
- Ukitaka kujifunza uganga wa kienyeji Kuna ada kama zilivyo ada zingine tu, mfano unaweza kuambiwa ada yako ulete Ng'ombe watano, au mbuzi au hela, ni juu ya maelewano yenu.
4. Uchawi ada yake ni moja tu ya damu! Yani ukitaka kujifunza uchawi utaambiwa mtoe mzazi wako au mtoto wako pendwa.
- Ukitaka kujifunza uchawi hutaambiwa lete hela au lete Ng'ombe.
5. Mganga wa kienyeji ni kama daktari wa lei au mwanajeshi ambao kazi yao ni kulinda jamii kutoka kwenye shida mbalimbali.
6. Mchawi ni kama jambazi au muasi kwenye jamii ambao kazi yao ni kuhakikisha kila anayeinuka kwa maendeleo anarudishwa chini.
7. Mganga wa kienyeji wa ukweli hawezi kukaa Meza moja na mchawi ni kama ambavyo jambazi au muasi hawezi kukaa Meza moja na mwanajeshi.
8. Uganga wa kienyeji ni fani iliyoingiliwa kama fani nyingine siku hizi Kuna waganga wa kienyeji feki wengi kama ilivyo trafiki feki, daktari feki, wachungaji feki etc
9. Kwa masikitiko makubwa jamii ya leo haijui kutofautisha kati ya mganga na mchawi. Jamii inajua wote ni wachawi tu.
Kaka naomba mpige kwanza na kibao cha CHAI ili akili imrudi tenaUmeandika kiwepesi sana.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kaka naomba mpige kwanza na kibao cha CHAI ili akili imrudi tena
Umeongea mambo makubwa na ya kweli tena ukweli mgumu sana ila ndio hivyo. Je unawezaje kumjua mganga wa kweli? Je wewe binafsi unamfahamu na ni jambo gani ulikwenda kwake akaweza kukusaidia, tupe shuhuda kuna ya kujifunza hapa.Kuna tofauti kubwa kati ya mganga wa kienyeji na mchawi ila jamii imepotoshwa na sasa haina uwezo wa kuwatofautisha tena na sasa inaishia kuwaweka kaput moja!!