elimu ya unyonyeshaji kwa mama mwenye VVU inahitajika

elimu ya unyonyeshaji kwa mama mwenye VVU inahitajika

serious1

Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
40
Reaction score
10
anatarajia kujifungua muda wowote kuanzia hivi sasa.............

kinachohitajika kwa sasa ni elimu ya kutosha jinsi ya kumnyonyesha mtoto huyo kwa maziwa ya mama pekee kwa kipindi cha miezi mitatu alichopanga ili kumzuia na maambukizi ya VVU toka kwa mama.

tafadhali MziziMkavu toa elimu hapa kama upo vizuri sekta hii.

asanteni
 
Last edited by a moderator:
mimi naona bora tu usimnyonyeshe...mpe tu maziwa ya kopo
bora kinga kuliko...
mbona watoto wengi tu bahati mbaya wanapoteza mama zao pale tu wanapozaliwa na wanakuzwa vizuri tu na hayo maziwa...?
ila nakuombea kwa Mungu akupe wepesi katika kipindi hiki kigumu
 
hili halitawezekana.by the way sio wa kwanza kufany ahivi.wapo wanaofanya hivi mradi tu upate elimu nzuri...

hakuna kipindi kigumu mama,ni changamoto tu za maisha...wengine wanatamani ujauzito hawaupati,wengine wanatupa,wengine tupo huku.yote maisha
 
ngoja nimuite mama ushauri gfsonwin anahusika sana na hiki kitengo! ila nashukuru kuona hujakata tamaa ..maisha ni haya haya ..
 
Last edited by a moderator:
ngoja nimuite mama ushauri gfsonwin anahusika sana na hiki kitengo! ila nashukuru kuona hujakata tamaa ..maisha ni haya haya ..

Umeona eeh.......life is how you make it mamito em gfsonwin akuje hapa haraka...
wapendwa kwanza naomba niwaambie sijui mlikuwa kwenye akili yangu siku ya leo??
yaani wiki nzima nilikuwa mahali nimetumwa na mkoloni, kuhesabu magari sasa nikajikuta nafunguliwa akili na hoja ya usalama wa mtoto kwawazazi wenye vvu, nikasema nitaweka mada tuijadili kimsingi nimeumizwa na nilichokigundua nyuma ya pazia juu ya maambukizi ya mama kwenda kwa mtoto na malezi wanayolelewa watoto ambao tayari wameathirika. Smile nilichokigundua nitakiweka hapa siku moja lkn sio jambo la masihara.

BTT..........mama anaweza kumyonyesha mtoto hadi afike umri wa miezi 3 yaani fizi zianze kumuwasha mtoto. jambo la msingi ambalo mama anatakiwa kuzingatia ni kwamba maziwa ya mama huwa hayabebi virusi ila kinachobeba virusi ni damu inayokaa kwenye matiti.

sasa pia virusi haviwez kuambukizwa kwa njia ya chakula yaani GIT haihusiki kabisa na kueneza ukimwi kwasababu njia pekee ya kuenea kwa ukimwi ni lazima virus wapate growing medium ambayo ama ni ute ama damu.

sasa iwapo mama atahakikisha kwamba hana vidonda kwenye matiti, titi likawa halijai maziwa kiasi cha kuvimba na kumsababishia vidonda mama huyu anaweza kumnyonyesha mwanae pasi kumuambukiza virusi. Mtoto anavyoendelea kukua mama atagundua utundu wa mwanae hivyo kama anaanza kuuma chuchu basi ni vyema akajijengea utaratibu wa kukamua maziwa kwenye kikombe na kumpa kuliko kumwacha akune fizi kwenye chuchu jambo ambalo laweza kuchubua chuchu za mama na fiiz za mtoto na hivyo kumsababishia mtoto maambukizi.

ikumbukwe kwamba ni jambo linaloumiza sana kama mtoto ataambukizwa ukimwi ilihali kazaliwa bila maambukizi. hivyo ni busara zaid mama akichukua tahadhari mapema, kwa kufuata njia salama za kumnyonyesha mtoto. mara nyingi sana huwa naona wakina mama wengi mtoto anapochangamtu basi humkamulia maziwa kwenye kikombe na kumpa mtoto kwa njia ya chuchu hii yote ni ili kumkinga mtoto.Lakini kubwa zaid linalotakiwa ni mama kuhakikisha kwamba hana vidonda kwenye chuchu zake siku zote anapomnyoyesha mwanae.
 
Last edited by a moderator:
ndo maana nakupenda dada yangu gfsonwin ujue jf ni kisiwa cha hazina! naona huyu mdau atakuwa amelala ila akiamka atafurahi kuona majibu yake hapa
mi nipo mkao wa kusubiri hiyo thread yako!
shukrani sana my sis
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom