ngoja nimuite mama ushauri
gfsonwin anahusika sana na hiki kitengo! ila nashukuru kuona hujakata tamaa ..maisha ni haya haya ..
Umeona eeh.......life is how you make it mamito em
gfsonwin akuje hapa haraka...
wapendwa kwanza naomba niwaambie sijui mlikuwa kwenye akili yangu siku ya leo??
yaani wiki nzima nilikuwa mahali nimetumwa na mkoloni, kuhesabu magari sasa nikajikuta nafunguliwa akili na hoja ya usalama wa mtoto kwawazazi wenye vvu, nikasema nitaweka mada tuijadili kimsingi nimeumizwa na nilichokigundua nyuma ya pazia juu ya maambukizi ya mama kwenda kwa mtoto na malezi wanayolelewa watoto ambao tayari wameathirika.
Smile nilichokigundua nitakiweka hapa siku moja lkn sio jambo la masihara.
BTT..........mama anaweza kumyonyesha mtoto hadi afike umri wa miezi 3 yaani fizi zianze kumuwasha mtoto. jambo la msingi ambalo mama anatakiwa kuzingatia ni kwamba maziwa ya mama huwa hayabebi virusi ila kinachobeba virusi ni damu inayokaa kwenye matiti.
sasa pia virusi haviwez kuambukizwa kwa njia ya chakula yaani GIT haihusiki kabisa na kueneza ukimwi kwasababu njia pekee ya kuenea kwa ukimwi ni lazima virus wapate growing medium ambayo ama ni ute ama damu.
sasa iwapo mama atahakikisha kwamba hana vidonda kwenye matiti, titi likawa halijai maziwa kiasi cha kuvimba na kumsababishia vidonda mama huyu anaweza kumnyonyesha mwanae pasi kumuambukiza virusi. Mtoto anavyoendelea kukua mama atagundua utundu wa mwanae hivyo kama anaanza kuuma chuchu basi ni vyema akajijengea utaratibu wa kukamua maziwa kwenye kikombe na kumpa kuliko kumwacha akune fizi kwenye chuchu jambo ambalo laweza kuchubua chuchu za mama na fiiz za mtoto na hivyo kumsababishia mtoto maambukizi.
ikumbukwe kwamba ni jambo linaloumiza sana kama mtoto ataambukizwa ukimwi ilihali kazaliwa bila maambukizi. hivyo ni busara zaid mama akichukua tahadhari mapema, kwa kufuata njia salama za kumnyonyesha mtoto. mara nyingi sana huwa naona wakina mama wengi mtoto anapochangamtu basi humkamulia maziwa kwenye kikombe na kumpa mtoto kwa njia ya chuchu hii yote ni ili kumkinga mtoto.Lakini kubwa zaid linalotakiwa ni mama kuhakikisha kwamba hana vidonda kwenye chuchu zake siku zote anapomnyoyesha mwanae.