Sky hata sio zamani...miaka ya 90 kwenye jamii yangu mwanamke au mwanaume akifikosha umri fulani ambao iliaminika amekuwa mtu mzima ilikuwa aibu kutokuwa kwenye ndoa.Wengine ni ma miss mpaka 70’s wakati nyumbani hukupewa ardhi wakijua utalima kwa mume wako.
Zamani baba alimuoza mtoto kwa rafiki yake. Mzee alitambua ni mtu wa aina gani anamuoa binti yake. Binti pia anakua na staha kwa mume kwakua pia ni rafiki wa baba.Sky hata sio zamani...miaka ya 90 kwenye jamii yangu mwanamke au mwanaume akifikosha umri fulani ambao iliaminika amekuwa mtu mzima ilikuwa aibu kutokuwa kwenye ndoa.
Jamii ya kimagharibi italitafsiri hili kama sio suala baya. Wao wanaamini si kila mmoja ana ndoto ya kuoa au kuolewa.
Lakini itazame ndoa kwa mapana yake. Inapunguza umalaya, inaunganisha jamii pamoja, inasitiri wenza na kujenga jamii vizazi kwa vizazi.
Sasa hivi mnamaliza chuo mnakutana kazini...Zamani baba alimuoza mtoto kwa rafiki yake. Mzee alitambua ni mtu wa aina gani anamuoa binti yake. Binti pia anakua na staha kwa mume kwakua pia ni rafiki wa baba.