chillo clan conscious
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 850
- 1,567
SOMO:
MADA
NAMNA NZURI YA KUDHIBITI MATUMIZI YAKO YA PESA.
2. Kuwa na nidhamu katika matumizi ya kila siku.
[emoji1334]
[emoji383]Kanuni nyepesi ni hii:
SALIO = Mapato - Matumizi.
[emoji457]Kinachochangia salio lako liwe kubwa sio mapato yako; bali nidhamu katika matumizi yako.!
[emoji426] Kuna njia kadhaa tunazoweza kuzitumia ili kupunguza na kudhibiti matumizi yetu. Njia hizi zitatusaidia tuweze kuweka akiba na hatimaye hata kufikia hatua ya kuwa wawekezaji wadogowadogo. Mbinu hizo ni:
(I)
(ii)
(iii)
.
(v)
(vii)
(viii)
(ix)
(x)
(ix)
(x)
Hapo unaweza kuona kuwa dhana ya kubana matumizi na kuwa na UBAHILI MZURI ni suala la tabia. Ukiamua kubadili tabia yako; kidogokidogo, utaona kipato chako kidogo kinakaa vizuri na unapanda kuelekea kwenye utajiri!
Je, umejifunza kitu chochote kwenye Mada hii!? Naomba tujulishe ili nasi tuongeze maarifa zaidi....
Wasalam:
AKILI YA MAFANIKIO
NOTE: NIMEITOA KUTOKA KWA MWALIMU WANGU
ELIMU YA UTAMBUZI NA MAFANIKIO.MADA
NAMNA NZURI YA KUDHIBITI MATUMIZI YAKO YA PESA.
2. Kuwa na nidhamu katika matumizi ya kila siku.
[emoji1334]
Huwa inasemwa kuwa; kuwa tajiri hihusiani na kiasi gani unapata bali ni kiasi gani unabakiza baada ya matumizi yako. Kuwa tajiri hutokana na nidhamu unayoijenga kwenye matumizi ya kila shilingi yako inayoingia . Kama anayepata shilingi milioni moja (1,000,000/=) na anayepata laki moja (100,000/=) wote mnatumia na kubakiwa na sifuri; wote ni masikini tu, hamna tofauti.![emoji383]Kanuni nyepesi ni hii:
SALIO = Mapato - Matumizi.
[emoji457]Kinachochangia salio lako liwe kubwa sio mapato yako; bali nidhamu katika matumizi yako.!
[emoji426] Kuna njia kadhaa tunazoweza kuzitumia ili kupunguza na kudhibiti matumizi yetu. Njia hizi zitatusaidia tuweze kuweka akiba na hatimaye hata kufikia hatua ya kuwa wawekezaji wadogowadogo. Mbinu hizo ni:
(I)
Kutengeneza bajeti ya matumizi na uifuate kama ilivyo.(ii)
Kata au punguza matumizi yasiyo ya lazima na ya anasa .(iii)
Code:
Kama una gari, punguza safari zenye kutumia gari binafsi. Wakati mwingine panda daladala au bajaji ili kuokoa gharama ya mafuta.
```
(iv) ```Nunua vitu kwa jumla; badala ya rejareja. Pia nunua kwa wingi, badala ya Kidogokidogo
(v)
Code:
Azima baadhi ya vitu badala ya kununua. Mfano: CD na DVD unaweza kukodi kwenye maduka ya kukodisha badala ya kununua mara zote.
(vi) Fanya baadhi ya kazi za nyumbani mwenyewe badala ya kila kazi kutafuta mfanyakazi.
Mfano: Kufyeka majani, michongoma, kufua, kufagia, kulima bustani n.k.
Punguza kula chakula hotelini na migahawani; kula nyumbani.(viii)
Kama utahitaji kukopa; Kopa mikopo isiyo na riba na lipa kwa haraka.(ix)
Punguza matumizi ya ATM na huduna za pesa kwenye simu. Ukitoa pesa maranyingi makato huwa makubwa kuliko ukitoa kiasi kikubwa kwa wakati mmoja.(x)
Acha matumizi ya Pombe na Sigara.(ix)
Andika orodha ya vitu kabla hujaenda sokoni kununua.(x)
Jifunze kusema HAPANA.Hapo unaweza kuona kuwa dhana ya kubana matumizi na kuwa na UBAHILI MZURI ni suala la tabia. Ukiamua kubadili tabia yako; kidogokidogo, utaona kipato chako kidogo kinakaa vizuri na unapanda kuelekea kwenye utajiri!
Je, umejifunza kitu chochote kwenye Mada hii!? Naomba tujulishe ili nasi tuongeze maarifa zaidi....
Wasalam:
AKILI YA MAFANIKIO
NOTE: NIMEITOA KUTOKA KWA MWALIMU WANGU