Habari.
Elimu ya Uzazi kama inavyoeleweka, Inanipa wakati mgumu kuielewa,
Majarida mengi pamoja na watunga sera za Uzazi hutoa taarifa zinazokinzana,
Taarifa nyingi zilizopo kuhusu Uzazi hazikamilishi kiu ya watu kuusu Uzazi,
Kwa kujua hilo,Madoktar wa Jf
Tafadhali embu kila mmoja wenu, atuweke wazi.
Je siku ambazo M/ke anaweza kuupata ujauzito ni siku gani?
Mfano mtu ambae ameingia bleed tarehe 20/1/14. ni siku gani atapata ujauzito?
Kwenu wadau.