Elimu ya Uzazi inanitatiza

Elimu ya Uzazi inanitatiza

Alvin Slain

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
6,375
Reaction score
3,663
Habari.

Elimu ya Uzazi kama inavyoeleweka, Inanipa wakati mgumu kuielewa,
Majarida mengi pamoja na watunga sera za Uzazi hutoa taarifa zinazokinzana,

Taarifa nyingi zilizopo kuhusu Uzazi hazikamilishi kiu ya watu kuusu Uzazi,

Kwa kujua hilo,Madoktar wa Jf
Tafadhali embu kila mmoja wenu, atuweke wazi.
Je siku ambazo M/ke anaweza kuupata ujauzito ni siku gani?
Mfano mtu ambae ameingia bleed tarehe 20/1/14. ni siku gani atapata ujauzito?

Kwenu wadau.
 
Siku ya kwanza kubreed ni siku ya kwanza ya mzunguko, mwanamke anaweza pata mimba akiwa siku ya 11 hadi 16. Siku zingine ziko fresh (safe days), siku mbaya zaidi ni siku ya 14 sababu siku hiyo yai lipo tayari kurutubishwa.
 
Vizuri mkuu!
 
Back
Top Bottom