Elimu ya vimondo

Samahani mtoa mada hivi kimondo ni Asteroid au ni Meteor
 
Good
 
Huwa nahisi hicho kimondo cha Mbozi kama tulipigwa!!
 
Kimondo ni chuma,je jua nalo ni chuma?
Kimondo kinapokuwa kwenye mfumo wake si chuma, kinakuja kuonekana kama chuma kinapoangukia dunia kutokana na kasi ya mwendo inayosababisha kipate joto kali sana linalosababisha kiungue huku baadhi ya sehemu huishia angani ni kingine huanguka na kikipoa huonekana kama chuma.
 
Hamuna kitu inaitwa kimondo Wala nini acha kutushika wewe..
 
Ndugu yangu umechanganya madesa hadi kukusahihisha inakuwa vigumu!

Kwa kifupi umedanganya au huna uelewa kabisa wa vimondo. Itoshe kusema hadithi yako ni nzuri lakini umepata 0%.
 
halafu kuna ule mwezi unaokula nazi kisha nazi zinakuwa mbovu unaambiwa "hii nazi imeliwa na mwezi" au mwezi unapika kwaio unakuja kuchkua nazi kuungia mboga?
 
Sayansi bora kabisa ya unajimu,sayansi hii ilinifanya nikalipenda somo la maarifa ya jamii toka nikiwa darasa la 3.

Ingawa mkuu umetuzaba mno,vimondo havitoki juani,infact ni vipande vya metal ambavyo vimekuwepo ktk sola system yetu miaka na miaka toka ipasuke kuwa ilivyo,na vingine vinatokea nje ya solar system yetu ikiwa kama matokeo ya kupasuka yanayoendelea kila siku ktk mzunguko wa maisha mbali mbali ya nyota nyingine kutoka galaxy nyingine pia.

Kinachotokea ni bahati mbaya tukimondo kinaingia duniani,kama kupotea njia,kitawaka kikiwa kinakwaruzwa na matabaka ya hewa,kikifanikiwa kutoisha kinatua mpaka chini.
Sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…