0620199972
New Member
- Aug 31, 2022
- 2
- 2
UTANGULIZI
Mfumo wa elimu ya Tanzania ni mfumo unaomuweza mwanafunzi kuelewa mambo mengi sana lakin asijue namna ya kuyafanyia kazi.
ELIMU YA NADHARIA. Elimu ya nadharia ni elimu ambayo hutolewa kwa njia ya maandishi vitabu na maelekezo ya mdomo kutoka kwa mtoaji wa elimu husika(mwalimu),mfumo huu hupendelewa sana kutumiwa na baadhi ya nchi hususa katika bara la Africa ikiwemo nchi yetu ya Tanzania.
ELIMU YA VITENDO: Hii ni Elimu ambyo hutolewa na mkugunzi au mjuzi au mwalimu kwa kutumia vitendo halisi vya kuonesha jambo halisi ambalo linazungumziwa au kuelezewa kwa maandishi kutoka katika kitabu husika.Aina ya Mfumo huu wa Elimu hutumika sana kwenye vyuo vya ufundi studies kuliko katika elimu ya msingi au sekondari,hali hii husababisha asilimia takribani 80%ya vijana wanaohitimu kukosa ufumbuzi halisi wa mambo waliyasoma.
MAOMBI YANGU KWA SERIKALI
Ninaiomba serikali yetu ya Tanzania kuruhusu Elimu ya vitendo kutumiwa zaidi mashuleni kuanzia shule za msingi sekondari na mpka kufikia vyuoni ili kuweza kuwafanya vijana wengi kuwa wabunifu zaidi wa vitu mbali mbali katika nyanja tofaut tofaut kama vile kilimo,ufugaji,uvuvi uchimbaji,hii italeta maendeleo ya haraka katika jamii zetu na nchi kwa ujumla kwa sababu viwanda vidogo vidogo vitaongezeka kwa wing na vijana wengi watakuwa na uwezo wa kujiajiri wenyewe kuliko kumaliza elimu za juu na baadae kurudi mtaani na kuanza kutafuta kazi za kuajiriwa,pia itasaidia kuifanya nchi kuwa na uchumi wa kujitegemea na kupunguza tatzo kubwa la ukosefu wa ajira kwa vijana na umaskini kwa ujumla.
MAENDELEO YA TAIFA HUJENGWA NA WAHUSIKA WA TAIFA SIO NGUVU KUTOKA TAIFA LINGINE,TUKIAMUA TUNAWEZA.MUNGU IBARIKI TANZANIA,MUNGU IBARIKI SERIKALI YETU.

Upvote
4