Elimu ya vyuo Tanzania ni duni - Hakuna mkazo

 

Ndugu yangu budget inagomba. WHo will pay for article subscription? Ela za research kwa wahadhiri mpaka walambe miguu ya donor. What do you expect? Yaani serikali haina budget zaidi ya mishahara kwa vyuo. Bado umeme ndo hivyo tena utaongelea kujifunza kwa electronic.
Bora liende tu
 
Vyuo vtetu wahadhiri wanabaniwa hata kuprint materials jinsi vilivyo maskini. Utategemea mihujiza. Hata wahadhiri walosoma sijuhi Havard baada ya miaka kumi hamna kitu kichwani kwani hawana huwezo wa kuji update. Hata maprofessor wetu nina wasiwasi na huelewa wao kwa jinsi wasivyoweza kujiendeleza kwa researc na access of what is happening in the world. Hawakawii kuwa maprofessor jina.
 
Ndio maana maprofessor wengine wanahamua kufuga kuku na kufungua baa wafanyeje sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…