Anfaal
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 1,154
- 116
ikoje hiyo mkuu,embu nieleweshe.
Ni MBA Mkuu! Samahani kama nitawakwaza watu. Ila kwa aliyesoma Bcom mh!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ikoje hiyo mkuu,embu nieleweshe.
Hiyo pia inafanyika KIU, amini usiamini. Najua wengi wanakishambulia kama chuo cha kata.
Sijuhi sana kuhusu KIU ila kuna Mganda mmoja alikuwa anakiponda hakuna maelezo. Nasikia Uganda ni chuo kinadharauliwa sana. Wanadai ni cha mfanyabiashara mmoja ambae hajaenda shule na ni ndugu wa Museven. Well nilijaribu kumuhoji mapungufu ya KIU hakufafanua sana ila alinambia Mganda akimaliza KIU hakuna ofisi inataka kumwajiri. Kimekaa kibiashara zaidi.
In either way, elimu yetu ni duni. Hivi ni wangapi wanamaliza vyuo vikuu hawajui kutumia computer? Watu wanaweza kulipuuza hili lakini reference nyingi zipo mtandaoni kuliko hata kwenye vitabu. Wengi wakijitahidi ni internet labda na Ms word. Teknolojia ipo nyuma.