Elimu ziko mbili ya kusoma na kipajiChibu Hana elimu lakin kaajir wenye elimu
Inaonekana hujamuelewa mleta mada....Mabilionea wote na matajiri wote ni watumiao elimu yao vipaji vyao au mitaji yao kusaidia jamii mfano Azam , Billy gates nk wana bidhaa zinazosaidia jamii wanawatengenrzea na kuwauzia
Elimu kama huna jamii ya kuisaidia ni hopeless hutoboi.Jamii ndio soko la elimu yako au kipaji chako au mtaji wako
Maisha ni Utu, ubinadamu na furaha.Mabilionea wote na matajiri wote ni watumiao elimu yao vipaji vyao au mitaji yao kusaidia jamii mfano Azam , Billy gates nk wana bidhaa zinazosaidia jamii wanawatengenrzea na kuwauzia
Elimu kama huna jamii ya kuisaidia ni hopeless hutoboi.Jamii ndio soko la elimu yako au kipaji chako au mtaji wako
In Capitalist School mimi ni Raisi ambaye kila mtu anamuota, kila Social Class inahitaji.Mtu mbinafsi kama wewe tukikupeleka ikulu utaanza kujilimbikizia wewe
mwenyewe, then ndugu zako, marafiki zako, mtaa wako, kijijini chako, mkoa wako, hadi ukifika hatua ya nchi umeshapinduliwa
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
NB:
1) Jamii ifaidike pale tu utapoona kuna faida katika kuifaidisha jamii.
2) Jamii ifaidike na elimu yako baada ya kupata faida ya kutosha na elimu yako