kuna waraka umetolewa na utumishi kwamba kwa sasa waalimu hawapandishwi madaraja kwani serikali haina hela, pia ujue kwamba kama ulikuwa kwenye bar ukiwa na diploma inamaana bar kwako ilikuwa G kama sikosa sasa unadegree unarudishwa D. anyway sijui kwanini serikali kwenye hili imeshindwa kutupa majibu mazuri.
juu ya kuongezewa majukumu hilo nalo ni tatizo manake lazima wewe ungeandika barua kama ungelitaka na pia kwa wao kuwa msingi wanaona kama wana ku underutilize so boss is boss ila lazima wakupe stahili zako zote, kwamfano sasa wamekupandisha daraja kuwa afisa elimu mwandamizi hivyo kuna maslahi unayotakiwa kupewa. komaa wakupe stahili zako zote, vinginevyo nenda kamshataki mwajiri wako huko ILO.