Elimu yangu ni kidato cha sita, natafuta ajira

Elimu yangu ni kidato cha sita, natafuta ajira

Chorter

Member
Joined
Jul 8, 2017
Posts
41
Reaction score
68
Habari za majukumu ndugu zangu, kwa mwenye connection ya ajira au kibarua naomba msaada, nipo MBEYA elimu kidato Cha sita naitaji nipambane ata kibarua kidgo ili nipate sehemu ya kujikeep bize nkisubr Mambo ya vyuo. Kwa mwenye msaada wowote namba yangu ni 0782284770
 
Kila la heri mkuu wengine pia tunatamani kuja huko Mbeya tupe connection pia
 
Back
Top Bottom