Elimu yetu inatuandaa kuendana na kasi ya Teknolojia?

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Joined
Aug 7, 2018
Posts
685
Reaction score
1,124
Teknolojia inaendelea kupenya katika nyanja mbalimbali za Maisha yetu, ikiwemo Ajira. Umuhimu wa Ujuzi wa Kidigitali unaendelea kujidhihirisha katika Soko la Ajira na hata kwa wanaojiajiri.

Mfumo wetu wa Elimu unatuandaa kuendana na kasi ya Mabadiliko ya Teknolojia?

Ajira_takriban_Milioni_230_Barani_Afrika_zitahitaji_kiwango_fulani.jpg
 
Teknolojia inaendelea kupenya katika nyanja mbalimbali za Maisha yetu, ikiwemo Ajira. Umuhimu wa Ujuzi wa Kidigitali unaendelea kujidhihirisha katika Soko la Ajira na hata kwa wanaojiajiri.

Mfumo wetu wa Elimu unatuandaa kuendana na kasi ya Mabadiliko ya Teknolojia?
Wanaotupangia tufanye nn kwenye nchi yetu wenyewe vigezo vyao vya kuwepo huko wanakotupangia ni kujua kusoma na kuandia
Kwa Hali hii tutafika kwel ?

Bongo hakuna elimu ni utapel tu

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom