JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
Ndo tunachokijua hiki. Haya tumia hiyo magazijuto kutatua changamoto kwenye jamii au tengeneza mfumo utakaoisaidia jamiiMagazijuto 1+(2-3)(5-2)-7Γ·100 = ?
2+3 = na ngap ?Ndo tunachokijua hiki. Haya tumia hiyo magazijuto kutatua changamoto kwenye jamii au tengeneza mfumo utakaoisaidia jamii
πππ2+3 = na ngap ?
5Γ5 = na ngap? Hesabu mawe na visodaπππ
Wanaotupangia tufanye nn kwenye nchi yetu wenyewe vigezo vyao vya kuwepo huko wanakotupangia ni kujua kusoma na kuandiaTeknolojia inaendelea kupenya katika nyanja mbalimbali za Maisha yetu, ikiwemo Ajira. Umuhimu wa Ujuzi wa Kidigitali unaendelea kujidhihirisha katika Soko la Ajira na hata kwa wanaojiajiri.
Mfumo wetu wa Elimu unatuandaa kuendana na kasi ya Mabadiliko ya Teknolojia?