Elimu yetu tanzanaia tutathmini

Mtazamaji

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2008
Posts
5,937
Reaction score
1,440
Wakuu
karibu tujaiaine kuhusu
  • mafanikio
  • Mapungufu,
  • changamoto na mambo mbali bali kuusu elimu inayotolewa Tanzania.
Katika mada hii tuwe huru kuongeza mitaaala, wazazi, shule na wanafuznzi , wizara na vyombo vinavyohusika na na elimu iwe ni ya msingi, Sekondari au vyuo na hata Ufundi na mpaka chekechea


Nitaanza na na maswali , chokonozi.
Je
  • Elimu yetu inamuandaa mtu kujitegemea? Kama ndio ni katika level gani mtu anapata elimu hii na kama sio elimu hii ya kujitegemea ifundiswe wenye levele gani ?
  • Kwa nini kwenye vyuo vikuu hakuna utaratibu wa zile best project proposal kuwa funded ili wnafunzi wazifanyie kazi?
  • Mchango na mahusiaono kati ya mzazi shule na mwanafuzi uhusu elimu yana mchango gani katika katie kuboesha elimu. Ni nani wa kulaumiwa kw amatkeoa mabaya walimu, shule au waizara?
  • Niini chanzo na sababu baadhi ya shule kufanya vizuri na shule fulani ufanya vibaya.

Na mwisho kabisa napenda kujua je jnini hasa sababu ya kusomaelimu dunia? nini hasa sababu ya mtu kutaka kwenda chuo ikuu na sio Chuo cha ufundi . Nini hasa sababu wa watu kupenda kupata Phd.

Karibu tujadili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…