Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,440
Wakuu
karibu tujaiaine kuhusu
Nitaanza na na maswali , chokonozi.
Je
Na mwisho kabisa napenda kujua je jnini hasa sababu ya kusomaelimu dunia? nini hasa sababu ya mtu kutaka kwenda chuo ikuu na sio Chuo cha ufundi . Nini hasa sababu wa watu kupenda kupata Phd.
Karibu tujadili
karibu tujaiaine kuhusu
- mafanikio
- Mapungufu,
- changamoto na mambo mbali bali kuusu elimu inayotolewa Tanzania.
Nitaanza na na maswali , chokonozi.
Je
- Elimu yetu inamuandaa mtu kujitegemea? Kama ndio ni katika level gani mtu anapata elimu hii na kama sio elimu hii ya kujitegemea ifundiswe wenye levele gani ?
- Kwa nini kwenye vyuo vikuu hakuna utaratibu wa zile best project proposal kuwa funded ili wnafunzi wazifanyie kazi?
- Mchango na mahusiaono kati ya mzazi shule na mwanafuzi uhusu elimu yana mchango gani katika katie kuboesha elimu. Ni nani wa kulaumiwa kw amatkeoa mabaya walimu, shule au waizara?
- Niini chanzo na sababu baadhi ya shule kufanya vizuri na shule fulani ufanya vibaya.