Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mwanachama wa Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Elisante Ngoma amechukua fomu ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Same Magharibi. Elisante ambaye alijiunga na Chama hicho akitokea Chama cha NCCR Mageuzi alikokuwa Katibu Mwenezi wa Taifa ni mjukuu wa mgunduzi wa madini ya Tanzanite Ndugu Jumanne Ngoma.
Elisante amekabidhiwa fomu hiyo jana tarehe 2 Julai 2025 na Katibu wa Jimbo la Same Magharibi Ndugu Nasra Mohamed Daudi.
Elisante amekabidhiwa fomu hiyo jana tarehe 2 Julai 2025 na Katibu wa Jimbo la Same Magharibi Ndugu Nasra Mohamed Daudi.