Wazazi, huu ndio wakati sahihi wa kumuwekeza mtoto wako kielimu akiwa likizo! Elite Home Tuition tunakuletea huduma bora ya kufundisha nyumbani kwa mwanafunzi kwa utulivu, umakini na ufanisi wa hali ya juu.
β
Tunafundisha masomo yote β Sayansi, Hisabati, Lugha, Sanaa, Biashara n.k.
β
Tunashughulikia mitaala yote β NECTA, CAMBRIDGE, IB
β
Lugha zote za kigeni β Kiingereza, Kifaransa, Kichina, Kijerumani n.k.
β
Tunasaidia sana wanafunzi wenye uelewa mdogo kwa kutumia mbinu maalum za kufundishia.
β
Tuna walimu wa kike au wa kiume kulingana na chaguo la mzazi
β
Huduma zetu ni Tanzania nzima
β
Tunaandaa wanafunzi kwa darasa jipya, mitihani au msingi wa kusoma na kuandika kwa walioanza shule.
π Mwalimu anafika nyumbani moja kwa moja!
π° Gharama ni maelewano kulingana na eneo na muda
π² Wasiliana nasi sasa WhatsApp: 0743 567 159
Elite Home Tuition β Jenga msingi imara wa elimu kwa mwanao!