OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Hii sisi wakenya tunapenda sana kujilinganisha na Tz, kwa nini?Ngumi mshawahi kushindwa dhahabu?
Mpira Kenya iliwagaragaza kule Misri sio Siri.
Riadha hata msiseme.
Voliboli Kenya juzi tu ilikuwa World Cup huko Japan na bado ndio mabingwa wa Afrika.
Cricket Kenya Ni mojawapo ya magwiji pamoja na SA, Zimbabwe na Namibia.
TANZANIA IKO WAPI KWA MICHEZO?
Kuwakejeli inatutia raha.Hii sisi wakenya tunapenda sana kujilinganisha na Tz, kwa nini?
Kwa sababu kuna kitu/vitu wanatudizi sio?!Kuwakejeli inatutia raha.
Ndio, Tz inatuzidi Umasikini.Kwa sababu kuna kitu/vitu wanatudizi sio?!
Haha mbona hapa Nairobi kwetu maskini ni wengi sana mkuu kukuko hata kule Dodoma, au Simiyu...me naona mTez ni mtu poa sana.Ndio, Tz inatuzidi Umasikini.
Francis Cheka, Rashid Matumla, MwakinyoRobert Wangila alishinda dhahabu. Niambie wenu ambaye ashawahi kushinda tangu kuumbwa kwa dunia? [emoji1787][emoji1787]
Km Wakenya wangekuwa wana roho japo nusu yako tungekuwa nao pamoja kwa mambo mengi sn mana cc waTz dunia inatujua kwa upole na ukarimu Afrika inafaam km ikitokea machafuko kwao kimbilio lao ni wapi hatunaga makuu hatunaga ugomvi na ndugu zetu majirani uwe msauzi ata kama unaniuwa nchini kwako nitakukaribsha kwangu na maji ntakupa chakula mpk chumba ntakupa lkn ss tumeona ukarimu wetu kuna baadhi ya waafrika fulani wanautafsiri vby ss tumeona tuwaoneshe upande wetu wa pili wa shilingi kwmb na cc ushenzi tunaujua na tunauweza vile ata km ni kwny soka ukitupokea vby kwako uctegemee mapokezi mazuri bongo ivyo yn tunafanya maendeleo na tunatangaza heri heri Shari Shari mana ndugu zetu mntaka na cc tuishi km nyinyiHaha mbona hapa Nairobi kwetu maskini ni wengi sana mkuu kukuko hata kule Dodoma, au Simiyu...me naona mTez ni mtu poa sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eliud is soo damn unromatic kama mikenya yootee..... anahusudu pesa tuuu.. tizama alivyomhug bibi yake... aibuuuuu...
Alafu anachapa steroids balaaaaaa..
Sisi Kenyans tuna tabia za kichenzi sana mkuu ..tuchukulie tu kama tulivyo. Bado hatuko na hekima hata kidojo, tunaona tuko super kuliko citizens wengine wa EA...Km Wakenya wangekuwa wana roho japo nusu yako tungekuwa nao pamoja kwa mambo mengi sn mana cc waTz dunia inatujua kwa upole na ukarimu Afrika inafaam km ikitokea machafuko kwao kimbilio lao ni wapi hatunaga makuu hatunaga ugomvi na ndugu zetu majirani uwe msauzi ata kama unaniuwa nchini kwako nitakukaribsha kwangu na maji ntakupa chakula mpk chumba ntakupa lkn ss tumeona ukarimu wetu kuna baadhi ya waafrika fulani wanautafsiri vby ss tumeona tuwaoneshe upande wetu wa pili wa shilingi kwmb na cc ushenzi tunaujua na tunauweza vile ata km ni kwny soka ukitupokea vby kwako uctegemee mapokezi mazuri bongo ivyo yn tunafanya maendeleo na tunatangaza heri heri Shari Shari mana ndugu zetu mntaka na cc tuishi km nyinyi
Respect broSisi Kenyans tuna tabia za kichenzi sana mkuu ..tuchukulie tu kama tulivyo. Bado hatuko na hekima hata kidojo, tunaona tuko super kuliko citizens wengine wa EA...
Eliud is soo damn unromatic kama mikenya yootee..... anahusudu pesa tuuu.. tizama alivyomhug bibi yake... aibuuuuu...
Alafu anachapa steroids balaaaaaa..
Unaishi Tandale ama Kijitonyama?Haha mbona hapa Nairobi kwetu maskini ni wengi sana mkuu kukuko hata kule Dodoma, au Simiyu...me naona mTez ni mtu poa sana.
Watu hawana mzuka nazo hamko romantic mtu apoteze mb zake kudownload video ambayo mwanaume na mwanamke wanafanana ya nn sRomantic[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ndio manake huwezi ona kenya video za ngono zikivuja kijinga jinga
Watu hawana mzuka nazo hamko romantic mtu apoteze mb zake kudownload video ambayo mwanaume na mwanamke wanafanana ya nn s
Una wivu sijapata onaBrigid ameshinda proper marathon. Nimempongeza tayari.
Huyu Kipchoge hii sub 2 hrs ya kukimbia mwenyewe bila mpinzani si marathon, ni soap opera labda.
Huyo Ollachuga Oc ni mtz mwenzako. Yaani amekubeba kimalenge malenge alafu na wewe ukajiingiza mwenyewe kwenye menu.Respect bro
Ucmsemee mtu uraia wake wwHuyo Ollachuga Oc ni mtz mwenzako. Yaani amekubeba kimalenge malenge alafu na wewe ukajiingiza mwenyewe kwenye menu.
Ni tabia ya watu wasioweza kujadili vitu kwa hoja kukimbilia kusema nina wivu.Una wivu sijapata ona
She is a woman...u have a thing for the Man maybe?..Ni tabia ya watu wasioweza kujadili vitu kwa hoja kukimbilia kusema nina wivu.
Sasa kwa nini niwe kwa wivu kwa mmoja, halafu kwa mwingine nipongeze bila wivu?