Eliud Kipchoge avunja rekodi yake mwenyewe na kuwa mwanariadha wa kwanza kukimbia KM 42 kwa chini ya saa 2

Ngumi mshawahi kushindwa dhahabu?
Mpira Kenya iliwagaragaza kule Misri sio Siri.
Riadha hata msiseme.
Voliboli Kenya juzi tu ilikuwa World Cup huko Japan na bado ndio mabingwa wa Afrika.
Cricket Kenya Ni mojawapo ya magwiji pamoja na SA, Zimbabwe na Namibia.

TANZANIA IKO WAPI KWA MICHEZO?
Hii sisi wakenya tunapenda sana kujilinganisha na Tz, kwa nini?
 
Eliud is soo damn unromatic kama mikenya yootee..... anahusudu pesa tuuu.. tizama alivyomhug bibi yake... aibuuuuu...
Alafu anachapa steroids balaaaaaa..
 
Attachments

  • Screenshot_20191015-132004.jpg
    Screenshot_20191015-132004.jpg
    95.2 KB · Views: 3
Haha mbona hapa Nairobi kwetu maskini ni wengi sana mkuu kukuko hata kule Dodoma, au Simiyu...me naona mTez ni mtu poa sana.
Km Wakenya wangekuwa wana roho japo nusu yako tungekuwa nao pamoja kwa mambo mengi sn mana cc waTz dunia inatujua kwa upole na ukarimu Afrika inafaam km ikitokea machafuko kwao kimbilio lao ni wapi hatunaga makuu hatunaga ugomvi na ndugu zetu majirani uwe msauzi ata kama unaniuwa nchini kwako nitakukaribsha kwangu na maji ntakupa chakula mpk chumba ntakupa lkn ss tumeona ukarimu wetu kuna baadhi ya waafrika fulani wanautafsiri vby ss tumeona tuwaoneshe upande wetu wa pili wa shilingi kwmb na cc ushenzi tunaujua na tunauweza vile ata km ni kwny soka ukitupokea vby kwako uctegemee mapokezi mazuri bongo ivyo yn tunafanya maendeleo na tunatangaza heri heri Shari Shari mana ndugu zetu mntaka na cc tuishi km nyinyi
 
Eliud is soo damn unromatic kama mikenya yootee..... anahusudu pesa tuuu.. tizama alivyomhug bibi yake... aibuuuuu...
Alafu anachapa steroids balaaaaaa..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Km Wakenya wangekuwa wana roho japo nusu yako tungekuwa nao pamoja kwa mambo mengi sn mana cc waTz dunia inatujua kwa upole na ukarimu Afrika inafaam km ikitokea machafuko kwao kimbilio lao ni wapi hatunaga makuu hatunaga ugomvi na ndugu zetu majirani uwe msauzi ata kama unaniuwa nchini kwako nitakukaribsha kwangu na maji ntakupa chakula mpk chumba ntakupa lkn ss tumeona ukarimu wetu kuna baadhi ya waafrika fulani wanautafsiri vby ss tumeona tuwaoneshe upande wetu wa pili wa shilingi kwmb na cc ushenzi tunaujua na tunauweza vile ata km ni kwny soka ukitupokea vby kwako uctegemee mapokezi mazuri bongo ivyo yn tunafanya maendeleo na tunatangaza heri heri Shari Shari mana ndugu zetu mntaka na cc tuishi km nyinyi
Sisi Kenyans tuna tabia za kichenzi sana mkuu ..tuchukulie tu kama tulivyo. Bado hatuko na hekima hata kidojo, tunaona tuko super kuliko citizens wengine wa EA...
 
Romantic[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ndio manake huwezi ona kenya video za ngono zikivuja kijinga jinga
Eliud is soo damn unromatic kama mikenya yootee..... anahusudu pesa tuuu.. tizama alivyomhug bibi yake... aibuuuuu...
Alafu anachapa steroids balaaaaaa..
 
Brigid ameshinda proper marathon. Nimempongeza tayari.

Huyu Kipchoge hii sub 2 hrs ya kukimbia mwenyewe bila mpinzani si marathon, ni soap opera labda.
Una wivu sijapata ona
 
Una wivu sijapata ona
Ni tabia ya watu wasioweza kujadili vitu kwa hoja kukimbilia kusema nina wivu.

Sasa kwa nini niwe kwa wivu kwa mmoja, halafu kwa mwingine nipongeze bila wivu?
 
She is a woman...u have a thing for the Man maybe?..

U js got to appreciate..wangapi watapewa teknolojia aliyosaidiwa Kipchoge wakafika the1:59?

Ntamchukulia Eliud poa siku nikiona attempt ya mtu mwingine imefanikiwa..whether boosted by tech or not,with or without V formations zile nk
 
Back
Top Bottom