oops ivyo unaforce mimi kuwa mtzed sio, kuandika ukweli sisi Kenyans ni wabaguzi na muchknow nimekuwa mtz? Mim ni raia halali wa Kenya ila sipendi vitu vya kujilinganisha na tz, kama tumewazidi ya nin kujilinganisha nao? Tunasijifu kwa vitu vya kijinga wakati Bado sote tuko na poverty ya kutosha. This is bullshit!