Eliud Kipchoge avunja rekodi yake mwenyewe na kuwa mwanariadha wa kwanza kukimbia KM 42 kwa chini ya saa 2

Eliud Kipchoge avunja rekodi yake mwenyewe na kuwa mwanariadha wa kwanza kukimbia KM 42 kwa chini ya saa 2

U js got to appreciate..wangapi watapewa teknolojia aliyosaidiwa Kipchoge wakafika the1:59?

Ntamchukulia Eliud poa siku nikiona attempt ya mtu mwingine imefanikiwa..whether boosted by tech or not,with or without V formations zile nk

Good point!

Si wengi wanaoweza kufanikiwa alichokifanya Eliud, hata iwe kwa msaada wa PEDs.

There’s levels to everything.

I workout in the gym a lot.

Lotsa dudes use supplements, including PEDs.

But guess what? Not everybody can push five or six wheels on the bench....
 
Huyo Ollachuga Oc ni mtz mwenzako. Yaani amekubeba kimalenge malenge alafu na wewe ukajiingiza mwenyewe kwenye menu.
oops ivyo unaforce mimi kuwa mtzed sio, kuandika ukweli sisi Kenyans ni wabaguzi na muchknow nimekuwa mtz? Mim ni raia halali wa Kenya ila sipendi vitu vya kujilinganisha na tz, kama tumewazidi ya nin kujilinganisha nao? Tunasijifu kwa vitu vya kijinga wakati Bado sote tuko na poverty ya kutosha. This is bullshit!
 
Back
Top Bottom