Eliud Kipchoge avunja rekodi yake mwenyewe na kuwa mwanariadha wa kwanza kukimbia KM 42 kwa chini ya saa 2

Napenda sana riadha nimemuangalia kipchoge aklifanya maajabu hiko vienna ku run marathon under 2 hours waooh it was amazing kuna siku nilimsikia nyambui akisema back in the 70s and 80s wakenya walikuwa wanakuja Tanzania ku train leo they are miles ahead they are the best in the world kweli tumepotea aisee, anyway hongereni sana ndugu zetu riadha inawafanya nchi yenu imekuwa famous sisi huku JIWE YUKO BUSY KUUA WAPINZANI NA KUIUA CHADEMA
 
Asante, analysis kali sana hii, tayari ameanza, naona wote wako very relaxed, njia yote imefurika watu wanamshabikia balaa, masaa haya mawili dah nahisi kama siku nzima kwa jinsi moyo unanidunda.
Wakenya wanaweka headlines tu sisi huku tuko na kina menina/mwijaku
 
Eliud tayari ana world record ya 2:01:39. Hapa alikuwa anajaribu tu kuweka historia.
Hapa hatuongelei hiyo ya awali, tunaongelea hii ya sasa.

Hajafuata standards za marathon. Hii ya sasa si marathon record, haihesabiwi katika vitabu vya marathon records.
 
Hii si world record katika mchezo wa mbio za riadha.

Si world record katika marathon.

Soma article ya CNN, usilazimishe mambo.
Sisi tunasoma dunia sio CNN...unamuabudu CNN sana?
 
#NoHumanIsLimited

Usain Bolt alikimbia meter 100 chini ya sekunde 10 (9.58 to be exact), meaning kila sekunde moja alikuwa anaruka meter 10. Let that sink in!

 
Its a world record, labda useme kwamba sio ya IAAF kwasababu hafla yenye haikuwa ya IAAF. Ila kumbuka kwamba Kipchoge ndiye anayeshikilia WR rasmi ya IAAF kwenye marathon, 2:01:39.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…