Bottom line, popote utakaposoma, this is not a marathon record.
Ni matangazo ya biashara za watu tu.
World record hata wewe unaweza kuanzisha.Its a world record, labda useme kwamba sio ya IAAF kwasababu hafla yenye haikuwa ya IAAF. Ila kumbuka kwamba Kipchoge ndiye anayeshikilia WR rasmi ya IAAF kwenye marathon, 2:01:39.
Record ya nini? Hata albamu ya muziki ni record.What's a record? Let's start from there.
Huyu kwanini msiseme ni kutoka "East Africa", au East Africans ni Diamond na Alikiba na Harmonize tu lakini ikifika upande wa wakenya kufanya vizuri hakuna EAC?.
Tukikataa EPA, free movement of people and businesses, hapo ndio mnaikumbuka EAC kwasababu inawaumiza. Ubinafsi na kupenda sifa ndio ugonjwa wenu.
World record hata wewe unaweza kuanzisha.
But who are you beating? Which record are you breaking?
Huu mchezo wa kuk8mbia huku watu wanazuia upepo usikupige haujawahi kufanyika, hivyo msilinganishe kukimbia huku watu wanazuia upepo usikupige na kukimbia naturally.
Record ya nini? Hata albamu ya muziki ni record.
42 km kwa masaa mawili....
Yaaan atakimbia km 21 kwa lisaa limoja,au 21km kwa dakika 60
Ni sawa na kusema atakimbia km 0.35 kwa dakika moja
Hii pia ni sawa tu nikisema atakimbia mita 350 kwa dakika moja
Pata picha tu...dakika moja huyu jamaa anakuwa kakimbia umbali sawa na viwanja vya mpira vitatu na nusu
Zaidi ni sawa na kusema atakimbia mita 5.8 kwa sekunde moja!!
Hehehehe, mita 5.8 kwa sekunde!! yetu macho,ngoja tusubili tujionee
42 km kwa masaa mawili....
Yaaan atakimbia km 21 kwa lisaa limoja,au 21km kwa dakika 60
Ni sawa na kusema atakimbia km 0.35 kwa dakika moja
Hii pia ni sawa tu nikisema atakimbia mita 350 kwa dakika moja
Pata picha tu...dakika moja huyu jamaa anakuwa kakimbia umbali sawa na viwanja vya mpira vitatu na nusu
Zaidi ni sawa na kusema atakimbia mita 5.8 kwa sekunde moja!!
Hehehehe, mita 5.8 kwa sekunde!! yetu macho,ngoja tusubili tujionee
This is not an IAAF record.See how ignorant you are, so you know better than IAAF? The official body in charge of athletics?
He is the one holding the current world record, his own, but here he was only trying to prove the possibilities of running 42km in under 2 hours.This is not a world record due to artificially simulated conditions.
Kenya's Eliud Kipchoge smashes two-hour marathon barrier | CNN
Kenya's Eliud Kipchoge has successfully completed the first ever marathon under two hours in the Austrian capital of Vienna, two years since he fell 25 seconds short.www.google.com
Can you congratulate a loser? Wamempongeza kwa kufanya kitu ambacho hakuna binadamu amewahifanya. Meaning he has broken the record enye yeye mwenyewe ndiye aliset.This is not an IAAF record.
Wamempongeza tu kama watu wanavyompongeza JF.
Unabisha?
Kipchoge ametengeneza artificial conditions za kumsaidia kushinda.
This is not a natural marathon.
Nani amepinga? Eliud hana haja ya kuweka record kwani tayari ana world record. Hapa alikuwa anajaribu kuweka historia kuwa binadamu wa kwanza kukimbia marathon chini ya masaa mawili. Ndio, hii ya leo hajavunja world record lakini amevunja historia bado na ataingia Guiness world book of records. World record alivunja Berlin mwaka uliopita.wacha kupingana na sisi kwani sisi ndio wenyeji tunajua haya mambo.Hapa hatuongelei hiyo ya awali, tunaongelea hii ya sasa.
Hajafuata standards za marathon. Hii ya sasa si marathon record, haihesabiwi katika vitabu vya marathon records.
Nyinyi Nyang'au ni majinga sana amevunja record bila mashindano ?
This is not a world record dude it is Kipchoge's record.
Wewe wakenya kwenye mambo mazuri huwa hawasemi EA ila kwenye mambo mabaya ndo huwa wanajumisha EA nzima 😂😂😂Hongera sana kwa Eliud na EA yote😜
You have failed to ask a question.What's a record? Answer the question.