Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
hicho ni kipaji special mbacho hata ronaldo anawish angekuwa anakimbia kwa speed na kwa muda mrefu kama huyo mwamba wa kenya..Sio hali ya kawaida Kwa mtu wa kawaida eliud kipchoge ambae ni mwanariadha ambae amezidiwafollowers hata na gigy money..
Amemufolo Kwa sababu alikuwa mwalimuSio hali ya kawaida Kwa mtu wa kawaida eliud kipchoge ambae ni mwanariadha ambae amezidiwa followers hata na gigy money, umber lulu na baba Levo kwenye ukrasa wa Instagram ila ajabu ni kuwa Cristiano Ronaldo amemfollow
Ninachowaza ni kuwa Kwa uhusiano upi mpaka afuatwe na mtu mkubwa kama Ronaldo na ukicheki eliud sio maarufu kivile hata Erick Omondi kamzidi View attachment 2717161View attachment 2717162
Jamaa ananyofoka huyo!!Sio hali ya kawaida Kwa mtu wa kawaida eliud kipchoge ambae ni mwanariadha ambae amezidiwa followers hata na gigy money, umber lulu na baba Levo...
Nike inauhusiano vipi sasa mbona hata diamond amewahi kuwa baloziNi Nike athlete
Angalia Omondi na eliud Nani mwenye followers wengiHuyo omondi amewahi ku break internet kumzidi kipchonge kweli? Bila shaka hufuatilii mambo
Followers wapenda udaku ndo umaarufu wenyewe huo wa kizazi chenu? Unaweza kuta omond hajulikani na satu maarufu kama ronaldo ila kipchonge akafahamikaAngalia Omondi na eliud Nani mwenye followers wengi