Eliud Kipchoge ni nani mpaka Ronaldo amemfollow Instagram

Eliud Kipchoge ni nani mpaka Ronaldo amemfollow Instagram

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
14,540
Reaction score
30,875
Sio hali ya kawaida Kwa mtu wa kawaida eliud kipchoge ambae ni mwanariadha ambae amezidiwa followers hata na gigy money, umber lulu na baba Levo kwenye ukrasa wa Instagram ila ajabu ni kuwa Cristiano Ronaldo amemfollow

Ninachowaza ni kuwa Kwa uhusiano upi mpaka afuatwe na mtu mkubwa kama Ronaldo na ukicheki eliud sio maarufu kivile hata Erick Omondi kamzidi.

Screenshot_20230813-223512_1.jpg
Screenshot_20230813-223518.jpg
 
Sio hali ya kawaida Kwa mtu wa kawaida eliud kipchoge ambae ni mwanariadha ambae amezidiwa followers hata na gigy money, umber lulu na baba Levo kwenye ukrasa wa Instagram ila ajabu ni kuwa Cristiano Ronaldo amemfollow

Ninachowaza ni kuwa Kwa uhusiano upi mpaka afuatwe na mtu mkubwa kama Ronaldo na ukicheki eliud sio maarufu kivile hata Erick Omondi kamzidi View attachment 2717161View attachment 2717162
Amemufolo Kwa sababu alikuwa mwalimu
 
Eliud Kipchoge sio maarufu mkuu?Kama Kampuni ya Nike marekeni inamtambua inawezekanaje akawa sio mtu maarufu?

Hebu jaribu ku google kuhusu yeye ndio utamjua Eliud Kipchoge ni nani kwenye hii dunia,achana na mambo ya ma likes na followers kwenye mitandao ya kijamii...
 
Bongo kupata followers wengi sio kazi ngumu kama ukiwa na content za kufurahisha waswahili hasa za kuwapa umbea umbea wakuongelee.

Kuna watu kibao marekani wana majina makubwa sana usa. Ila wanazidiwa idadi ya followers na wabongo kina mobetto.

Ndio maana mitandao mingi CPM za views wanalipa kutokana na location ulipo.

Msanii akipata views millioni 1 wa watu walio majuu anapata hela nyingi kuliko akipata views milioni 10 za watu walio bongo. Sababu wanajua nchi zetu zimejaa wajinga wengii wata wakifollow ama kutazama kitu kwa wingi bado hawana effect
 
Watu Maarufu hufata watu maarufu wenzao haangalii kisa unatingisha matako Istagram na una Followers wengi eti ndo ata ku follow hata kama wewe ume mfollow

Unae mtaja hapo ni binadamu anaeshika record ya dunia ya Marathon. Tena ipo nyingine ya kukimbia chini ya saa mbili(japo haiikukubaliwa).

Basi huyu ni zaidi ya Diamond au Alikiba hata kama wana followers mara tano yake.
 
Back
Top Bottom