Eliud Kipchoge ni nani mpaka Ronaldo amemfollow Instagram

Angekuwa maarufu kihivyo basi asingezidiwa followers na umber lulu
 
Andika Kwa mpangilio
 
Wewe Mpwayungu wewe....
Unamjua au kumfuatilia Kipchonge vizuri kweli hadi useme siyo maarufu..Ngoja watu wa Athletes waione hii...

Anyway...Nenda hapo Google kamsome vizuri.
Angalia followers alionao Instagram
 
Nimeishia kusoma Hapo kwenye Eric omondi ni Maarufu Kuliko Eliud kipchoge. Mkuu Kipchoge ana Record kadhaa huko Olimpic alf unamfananisha na Eric omondi ? Upo serious kweli ?

Jaribu Kufatilia Record za Kipchoge huko kwenye Guiness Records alafu utakuja na Jawabu hapa.
 
Angalia followers Instagram Nani anao wengi
 
Unamfananisha Eliudi na gigy money[emoji849][emoji849] kwa kumpima na followers. Do you know kwamba East Africa internet bundles za TZ ziko cheap Sana. Na wengi pia sio wasomi so they just follow.like mkenya sio rahisi ukute tu anafollow pasipo sababu ya maana
 
Unazungumzia umaarufu lakini hujataka kuuliza umaarufu maeneo gani? Ukizungumzia Umaarufu wa Kidunia basi Eliud Kipchoge ni maarufu na anatambulika Duniani kote kwa Record alizoweka. Lakini kama unazungumzia Umaarufu wa Porojo na kubweka mitandaoni na kuwa na followers wengi basi uenda fundi majumba baba levo na gigy money uenda wakawa maarufu zaidi nchni Tanzania, lakini ukivuka border sio maarufu.

Lakini kitu kingine usichokifahamu kuhusu wazungu au watu wa nje ya Tanzania. Uwa hawana Tabia ya kufollow watu mitandaoni hovyo hovyo... Ndio maana ukienda hata Nigeria utakuta wasanii wao wanajulikana Dunia nzima kama kina Rema, Omlay na wengineo waliotengeneza Hits za Dunia utakuta wana followers wachache, ila wasanii wengine kina gigy money wana followers wengi ila hawajulikani Nje ya Tanzania.
 
Angalia followers Instagram Nani anao wengi
Sijajua Eric omondi ana Followers wangapi Mkuu, ila Eric omondi Fans wake wengi ni Kutoka Africa Na Kipchoge Fans wake wengi Ni watu Wa Ulaya.

Hiyo ni kutokana na Soko la kibiashara tu Maan hku africa Eric omondi anapiga mpak shows huko Nigeria na Anajaza Ukumbi,

Ila kwa upande wa Kipchoge Alijulikana zaid kupitia ile Record yake aliyoiweka olympic nd ikmfanya mpak Nike wakampa U ambassador.
 
Hhhahaha mkuu kwahiyo bongo watu wanafolo folo hovyo tu [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Unafikili kwann bongo kupata followers ni rahisi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…