Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
- Thread starter
- #21
Sio kila kitu masiharaAmemufolo Kwa sababu alikuwa mwalimu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kila kitu masiharaAmemufolo Kwa sababu alikuwa mwalimu
Hamshindi hussein boltNi mwanariadha ambae kilichobaki kwake kwa sasa ni kuzivunja rekodi zake tu, rekodi za wengie alishazivunja
Angekuwa maarufu kihivyo basi asingezidiwa followers na umber luluEliud Kipchoge sio maarufu mkuu?Kama Kampuni ya Nike marekeni inamtambua inawezekanaje akawa sio mtu maarufu?Hebu jaribu ku google kuhusu yeye ndio utamjua Eliud Kipchoge ni nani kwenye hii dunia,achana na mambo ya ma likes na followers kwenye mitandao ya kijamii...
Huna akiliWote wapo industry moja Wana michezo,
Andika Kwa mpangilioWatu Maarufu hufata watu maarufu wenzao haangalii kisa unatingisha matako Istagram na una Followers wengi eti ndo ata ku follow hata kama wewe ume mfollow
Unae mtaja hapo ni binadamu anaeshika record ya dunia ya Marathon . Tena ipo nyingine ya kukimbia chini ya saa mbili(japo haiikukubaliwa)
basi huyu ni zaidi ya Diamond au Alikiba hata kama wana followers mara tano yake.
Angalia followers alionao InstagramWewe Mpwayungu wewe....
Unamjua au kumfuatilia Kipchonge vizuri kweli hadi useme siyo maarufu..Ngoja watu wa Athletes waione hii...
Anyway...Nenda hapo Google kamsome vizuri.
Haisho kwa Followers ..Hata ukimuuliza anaweza asijue anao wangapi..Angalia followers alionao Instagram
Sio kweliHaisho kwa Followers ..Hata ukimuuliza anaweza asijue anao wangapi..
Yeye yuko hapa [emoji385]..Hao uliowataja huko juu kwa Kipchonge bado wanajitafuta bado..
Angalia followers Instagram Nani anao wengiNimeishia kusoma Hapo kwenye Eric omondi ni Maarufu Kuliko Eliud kipchoge. Mkuu Kipchoge ana Record kadhaa huko Olimpic alf unamfananisha na Eric omondi ? Upo serious kweli ?
Jaribu Kufatilia Record za Kipchoge huko kwenye Guiness Records alafu utakuja na Jawabu hapa.
Mbona ana followers wachache mpaka mwijaku kamzidiMwamba huyo, jamaa aliweka rekodi ya kukimbia KM 42 chini ya masaa mawili.
Jamaa Ni maarufu Sana.
Sijajua Eric omondi ana Followers wangapi Mkuu, ila Eric omondi Fans wake wengi ni Kutoka Africa Na Kipchoge Fans wake wengi Ni watu Wa Ulaya.Angalia followers Instagram Nani anao wengi
Hhhahaha mkuu kwahiyo bongo watu wanafolo folo hovyo tu [emoji28][emoji28][emoji28]Unamfananisha Eliudi na gigy money[emoji849][emoji849] kwa kumpima na followers. Do you know kwamba East Africa internet bundles za TZ ziko cheap Sana. Na wengi pia sio wasomi so they just follow.like mkenya sio rahisi ukute tu anafollow pasipo sababu ya maana
Unafikili kwann bongo kupata followers ni rahisi sanaUnazungumzia umaarufu lakini hujataka kuuliza umaarufu maeneo gani? Ukizungumzia Umaarufu wa Kidunia basi Eliud Kipchoge ni maarufu na anatambulika Duniani kote kwa Record alizoweka. Lakini kama unazungumzia Umaarufu wa Porojo na kubweka mitandaoni na kuwa na followers wengi basi uenda fundi majumba baba levo na gigy money uenda wakawa maarufu zaidi nchni Tanzania, lakini ukivuka border sio maarufu.
Lakini kitu kingine usichokifahamu kuhusu wazungu au watu wa nje ya Tanzania. Uwa hawana Tabia ya kufollow watu mitandaoni hovyo hovyo... Ndio maana ukienda hata Nigeria utakuta wasanii wao wanajulikana Dunia nzima kama kina Rema, Omlay na wengineo waliotengeneza Hits za Dunia utakuta wana followers wachache, ila wasanii wengine kina gigy money wana followers wengi ila hawajulikani Nje ya Tanzania.