Eliud Kipchoge ni nani mpaka Ronaldo amemfollow Instagram

Sio hali ya kawaida Kwa mtu wa kawaida eliud kipchoge ambae ni mwanariadha ambae amezidiwa followers hata na gigy money, umber lulu na baba Levo kwenye ukrasa wa Instagram ila ajabu ni kuwa Cristiano Ronaldo amemfollow

Ninachowaza ni kuwa Kwa uhusiano upi mpaka afuatwe na mtu mkubwa kama Ronaldo na ukicheki eliud sio maarufu kivile hata Erick Omondi kamzidi.

View attachment 2717161View attachment 2717162
Huyu ni Exceptional among African who have ever lived. Ni kama Muhammad Ally, Tyson, Pele. Yupo kundi hilo na Ronaldo yupo kundi hilo.
Ni watu wawili wenye uwezo mkubwa wametambuana.
 
Sio hali ya kawaida Kwa mtu wa kawaida eliud kipchoge ambae ni mwanariadha ambae amezidiwa followers hata na gigy money, umber lulu na baba Levo kwenye ukrasa wa Instagram ila ajabu ni kuwa Cristiano Ronaldo amemfollow

Ninachowaza ni kuwa Kwa uhusiano upi mpaka afuatwe na mtu mkubwa kama Ronaldo na ukicheki eliud sio maarufu kivile hata Erick Omondi kamzidi.

View attachment 2717161View attachment 2717162
Tuliza kiboksi manyoya chako wewe Kipchoge sio maarufu?
 
Back
Top Bottom