shushushu VIP
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 4,799
- 4,312
Huku kwetu km 21 tunatembea kwa dakka 13 ukiwa kasi na dakka 16 ukiwa kawaidaYaani kila lisaa limoja inaenda kilometer 21 tu? Au dakika 20 inaenda kikometre 7 tu? Tuseme kwa hapa Dar Umbali wa Posta mpaka Makumbusho kweli? Ni barabara ya aina gani hiyo? Au foleni Sana nini?
Kipchoge ni zaidi.Jana nimepata message nyingi watu wakita kujua kati ya KIPCHOGE na BOLT nani zaidi! hivyo leo ninaweka analysis kidogo kuhusu hawa wawili na nani ni mkali zaidi!
Usain Bolt wa Jamaica na Eliud Kipchoge wa East Africa ni wababe wawili wa kukimbia duniani. Bolt ambaya amestaafu karibuni alikuwa bingwa wa kukimbia mbio fupi aliyeweka record na pia Kipchoge wa East Africa ni bingwa wa marathion aliyeweka record hivi karibuni.
Usain Bolt’s record yake katika mita 100-ni at 9.58 seconds wakati Eliud Kipchoge’s record yake katika marathon ya ni 1:59:40.
Kama tukijaribu kufananisha hypothetically, kwa Usain Bolt kusustain same speed kwa mbio za marathon inamaanisha angeweza kumaliza marathon ndani ya 1:07:22 (Almost nusu ya muda wa KIPCHOGE)! Je hii inamaanisha nini? BOLT ni zaidi ya KIPCHOGE?
HAPANA Haimaanishi hivyo, Marathon is not all about super speed, but kusustain na kukimbia umbali mrefu tofauti na mbio fupi ambazo BOLT ameweka record. Kwa hiyo watu hawa wawili ni mabingwa katika mbio lakini huwezi sema yupi ni zaidi ya yupi. Kila mmoja ni mzuri katika umbali wake.
..
Nani kakwambia KIPCHOGE sio wa EAST AFRICA??? tena east Africa inacomprise TANZANIA, UGANDA and kenya!
1) Hiyo ni minimum, so yaweza kua zaidiKm 37.5 ,, kwa gar ni dakk 45View attachment 1232229
42Km gari itumie 2hrs?UMBALI WA KUTOKA MBEYA MJINI MPAKA TUKUYU NI 42KM NA GARI HUWA ZINATUMIA MASAA 2 IKUMBUKWE KUWA BARABARA NI LAMI TUPU...SASA HUYO KIPCHOGE KAKIMBIA MASAA 2 KASORO huyo SIYO mtu Wa kawaida itakua wanatumia madawa hao bwana
Wewe tumeelewana, tuko sawa.Marathon technique zake ni tofauti na mbio fupi sasa hatuna uhakika kama kipchoge angehimili mbio fupi.Mi naamini mbio fupi ni ngumu zaidi kuliko marathon.Mbio fupi zinataka akili.Kosa la ubongo wako,ukilisahihisha ndani ya sekunde tayari u akuwa ushapigwa bao na wenzio.Ila marathon ni mazoezi ya pumzi zaidi kuliko spiidi.wengi huwa wanashindwa kwa kuwa kifua kinabana na wanasarenda.Ila huku kwenye mbio fupi ni akili zaidi inafanya kazi.Kama akili yako ukihamisha kidogo tu umefail.
bolt ni mchumba tu kwa limsela kipchongeJana nimepata message nyingi watu wakita kujua kati ya KIPCHOGE na BOLT nani zaidi! hivyo leo ninaweka analysis kidogo kuhusu hawa wawili na nani ni mkali zaidi!
Usain Bolt wa Jamaica na Eliud Kipchoge wa East Africa ni wababe wawili wa kukimbia duniani. Bolt ambaya amestaafu karibuni alikuwa bingwa wa kukimbia mbio fupi aliyeweka record na pia Kipchoge wa East Africa ni bingwa wa marathion aliyeweka record hivi karibuni.
Usain Bolt’s record yake katika mita 100-ni at 9.58 seconds wakati Eliud Kipchoge’s record yake katika marathon ya ni 1:59:40.
Kama tukijaribu kufananisha hypothetically, kwa Usain Bolt kusustain same speed kwa mbio za marathon inamaanisha angeweza kumaliza marathon ndani ya 1:07:22 (Almost nusu ya muda wa KIPCHOGE)! Je hii inamaanisha nini? BOLT ni zaidi ya KIPCHOGE?
HAPANA Haimaanishi hivyo, Marathon is not all about super speed, but kusustain na kukimbia umbali mrefu tofauti na mbio fupi ambazo BOLT ameweka record. Kwa hiyo watu hawa wawili ni mabingwa katika mbio lakini huwezi sema yupi ni zaidi ya yupi. Kila mmoja ni mzuri katika umbali wake.
..
Bolt bingwa wa dunia kivipi we nae wakati ameshastaafu? Bingwa wa dunia kwasasa kwenye 100m ni Christian Coleman na kwenye 200m ni Noah Lylesnaweee! kwani BOLT sio bingwa wa dunia? kwani Kipchoge hajaweka record! kavunja record na kuweka record.
hawa wote wawili huwezi sema yupi mkali kumzidi mwezie, kila mtu mkali kivyake!
Ameongea vizuri ila kachanganya kidogo. Kipchoge hatoki East Africa bali anatokea Kenya iliyoko East Africa.
hahaha.... hilo ni gari au baiskeli?? maana hata tractor au katapila haichukui muda wote huo.UMBALI WA KUTOKA MBEYA MJINI MPAKA TUKUYU NI 42KM NA GARI HUWA ZINATUMIA MASAA 2 IKUMBUKWE KUWA BARABARA NI LAMI TUPU...SASA HUYO KIPCHOGE KAKIMBIA MASAA 2 KASORO huyo SIYO mtu Wa kawaida itakua wanatumia madawa hao bwana
Unaweza kukimbia mbio fupi kwa constant speed mpaka mwisho lakini speed hiyo huwezi kuitumia mbio ndefu ya km 42 si kweli.Jana nimepata message nyingi watu wakita kujua kati ya KIPCHOGE na BOLT nani zaidi! hivyo leo ninaweka analysis kidogo kuhusu hawa wawili na nani ni mkali zaidi!