Nilufer
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 9,603
- 13,654
huyo Erickb52 si aliahidi kukabidhi madaraka kwa Baba V ikithibitika Mama v anaexist? mbona mama v alijitokeza lakini bado analazimisha madaraka? njaa itamuua.
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyo Erickb52 si aliahidi kukabidhi madaraka kwa Baba V ikithibitika Mama v anaexist? mbona mama v alijitokeza lakini bado analazimisha madaraka? njaa itamuua.
Hivi bado uko na Mentor ?
Duh Erickb52 umekomaa na hii hadi huku?
Madame B, Umesema hata nikisepa utakua na nani ?Nimekusikia....
Elizabeth Dominic......:A S new:
hahahahahahahhhaha
Kamati ya ulinzi ya cc impatie ulinzi Elizabeth Dominic.
Hongera sana Eliza , wewe ni mwanamke shujaa sana,kuanzia leo kile cheo cha Madame B cha mwana mke rijali sasa ni chako ,wewe ndio mwanamke rijali.
Madame B kwisha habari yake ,chezea ELiza wewe?
hahahahah akhsante max kwa kutuletea jf.
My akanana Passion Lady naomba huwe karibu na @ madame b asije kujirestisha.
hahahahah
Madame B pole sana huu ni wakati wako tulia udungwe sindano na dr Elizabeth Dominic.
Tafadhali Lady doctor njoo ummpime pressure Madame B ukisaidiana na Heaven on earth.
Hahahhahaha kumbe kila mtu ana mbabe wake bhana.
kumekucha.
Nina mhakikishia ulinzi Elizabeth dominic
aaaaah mwenyekiti!! mimi na Ruttashobolwa milele daima
tunaangalia ndoa za wengine zinavyovurugwa!!
aaaaah mwenyekiti!! mimi na Ruttashobolwa milele daima
tunaangalia ndoa za wengine zinavyovurugwa!!
aliyekwambia bila mentor siwezi kuishi ni nani?
nani amekwambia kuwa niko naye? kwanini kaka
unaleta matatizo hapa jamvini unataka asimame
na kuingia hapa kwanini umemmention huyu M....r?
:noidea:
Ruttashobolwa msome hapo kwenye pink. bado anajiita mwenyekiti wa mahusiano na wala sio mtoa taarifa tu.Hello wana Chitchat!
Ninaomba mpokee taarifa ya mahusiano mapya kati ya Elizabeth Dominic na Ben Saanane kuanzia leo.
Nimeyafiki mapinduzi haya kwa kuwa Madame B anamiliki SACCOS ya wanaume wakati Elizabeth Dominic hana wa kumpetipet. Tabia hii ya SACCOS ya Madame B imekuwa ikimuumiza sana Ben Saanane na kumnyima usingizi akiwaza ni lini atapata mke wake peke yake...! Hivyo leo wameamua kuungana na huyu kimwana kuwa kitu kimoja ili awe ana bofya akijisikia na sio kupangishwa foleni kama yuko clinic!
Nawatakia maisha mema ya ndoa yao!
I remain
Erickb52
Mwenyekiti wa Mahusiano
Hilo sahau.....!
Nimekuja kikazi mwallu
We baki na nanii yako hakuna wa kuitoa kwa sasa....kila mtu yuko na ya
mkewe eboooo we iache iliwe na nyenyere hahahaaaaa
Madame B akikumbuka utam wa kiuno lazima arudi plus mimba!!!!!!!!!!!!!
uwiiiii pole Elizabeth Dominic mjini mipango.........