Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Hata sisi tunakisaka kizaigoti.
Halafu nakimiss kiwowowo ujue
nawashangaa miaka yote hiyo hata ya bahati mbaya hamna, nyie ni wagumba nini?
Halafu mi nilijua tangu upigwe marufuku kuniita kiwowowo utajirekebisha ngoja nikakusemee kwa mumewangu, we huoni mwenzio Baba V kashika adabu yake
Last edited by a moderator: