Elizabeth Dominic
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 4,555
- 3,660
je, mkiva atauweza atauweza mziki wa mtoto wa kutoka maeneo ya wazito, mtoto wa kishua Elizabeth Dominic sio wa chips vumbi, kazoea pizzerria, goldcrest....
mapenzi hata sisi tunaweza kumpa, what additional feauture do u have? sio porojo mingi
Hayo mambo ya kawaida MENTION C6 MENTION elizabeth namjua vizuri naamini uwezo huo ninao hakuna atakachokosa matumizi najua nimakubwa ila kwangu sioni tatizo
nakupenda wewe malaika wa roho yangu nimeshindwa vumilia mateyo ya moyo wangu juuyako nimeamua kuweka mambo wazi.kwamba ujue nakupenda.nitakupa utakacho yakiwemo mapenz motomoto sitotaka uteseke kwahali yoyote.naomba naomba niokoe kwenye baridi kali nakupenda kwa moyo wangu wote.nimemtuma njiwa wangu ujumbe kuufikisha mpokee kwa ukarimu na upendo kumpa
Kaizer si unaona lakini?duuuuh
mheshimiwa mkiva ukitaka kummention mtu , anza na herufi/alama @ kisha jina lake badala ya kuandika MENTION . haya jaribu kunijibu kuandika ahsante (@ c6) @ na jina ziwe zimeungana
Duh!.....................aisee sina cha kusema ngoja utamtambua Kaizer kakangu anaga mchezo...........afu dogo C6 shemeji angu wa ukweli atakugalagaza, asa sijui ndio ushem au vipi conflict of interest charminglady anajua. Kwa ufupi you have to go through them before you get to me............hapo bado hata sijam mention Mentor
kwamf: MENTION=@C6.AU MentION=C6?
duh,job true true. Huz umekuwa tcha?
speechless!!!!!!!!
Duh!.....................aisee sina cha kusema ngoja utamtambua Kaizer kakangu anaga mchezo...........afu dogo C6 shemeji angu wa ukweli atakugalagaza, asa sijui ndio ushem au vipi conflict of interest charminglady anajua. Kwa ufupi you have to go through them before you get to me............hapo bado hata sijam mention Mentor
huko nnakotoka ni mwalimu, sipendi kuona mtu hajui basics km kumention mtu :focus: Jamaa katangaza nia anamtaka shostito wako, ataweza kweli pizza huyu? Nimwambie atume tiketi mbili za fly540 kwenda na kurudi dar mfanye shopping jioni mrudi au we unasemaje?
1. Punguza Povu ndipo umwage yaliyo moyoni.
2. Pesa ndo mpango mzima,mengine swaga tu.
Nimeamua kuweka hadharani kabisa ninakuja pm muda sio mrefuWe mbona unaongelea hewani.................sijakuona hata ukithubutu PM
Siunajua kupenda unaweza kumfata mtoto hata mbele ya wazaziWe mbona unaongelea hewani.................sijakuona hata ukithubutu PM
Duh!.....................aisee sina cha kusema ngoja utamtambua Kaizer kakangu anaga mchezo...........afu dogo C6 shemeji angu wa ukweli atakugalagaza, asa sijui ndio ushem au vipi conflict of interest charminglady anajua. Kwa ufupi you have to go through them before you get to me............hapo bado hata sijam mention Mentor
Nakukubali kwa kuwa wewe una akili sana.
mwambie mengine ni mbwembwe tu.