Mapenzi yanarun chit chat! Lolest!
ndoa za mkeka tu zimejaa huku,
hakuna mapenzi kabisa hapa.
we kauzu sana madame.Tatizo hautaki kuukubali ukweli.
Hallo Shem Elizabeth Dominick!Risala hiyo kutoka kwa mkiva. Tafuta neno moja kati ya mawili umpe. Kamusi yako ina neno 'yes?'[/QUOTE
Kamusi yangu imejitosheleza.................we mwache tu
Hallo Shem Elizabeth Dominick!Risala hiyo kutoka kwa mkiva. Tafuta neno moja kati ya mawili umpe. Kamusi yako ina neno 'yes?'[/QUOTE
Kamusi yangu imejitosheleza.................we mwache tu
Sasa sibora kusema mapema ngojangaja huumiza.au kwakua maumivu haya hunayowewe?
ivi we bwana mkiva ndo kusema unamtaka Elizabeth Dominic kiukweliukweli ama? maana ulivyofunguka pm nimeshtuka kidogo. mke mwema anapatikana.....
mimi huyoooooooo
ivi we bwana mkiva ndo kusema unamtaka Elizabeth Dominic kiukweliukweli ama? maana ulivyofunguka pm nimeshtuka kidogo. mke mwema anapatikana..... Kwa bwana
mimi huyoooooooo
we kauzu sana madame.
acha nipite tu kimya kimya
Hebu niambie mtoto mzuri,
Ukauzu wangu uko wapi?
ukweli upi tena mention 4649633 nakutegemea unipigie pande kumbe wewe ndo unataka kunipeperushia ndege wangu