Elizabeth Gupta Kufunga Ndoa na Kelven Jan.2011

Elizabeth Gupta Kufunga Ndoa na Kelven Jan.2011

kweli mapenzi ni kumzoea mtu tu kadri siku zinavyozidi kwenda ndio mtu anamzoea mtu na mwisho kupenda kabisa, eliza alimtolea kabisa nje jamaa lakini mwisho wanafunga ndoa. Mungu awabariki sana wakaishi kwa amani na upendo baada ya ndoa yao
 
harusi itakuwa bongo au nigeria???

Itakuwa Bongo then wataenda tena Nigeria kufanya ya kimila ni must. Kule Nija watakuwa pia na big reception, si unajua tena watu wa matanuzi? Ila wajameni kuolewa na wawest yataka moyo ndugu yangu.
 
Kila la heri dada, ukatuwakilishe WaTZ si uende huko ukawe mcharuko!!!
 
Hongera dada!Mungu akuongoze!mpe mambo ya ukweli yaleeee!enheeee!
 
Back
Top Bottom