Elizabeth Gupta na Kelvin Pam wafunga ndoa rasmi Nigeria

Elizabeth Gupta na Kelvin Pam wafunga ndoa rasmi Nigeria

Natumaini maisha yao yatatawaliwa KibigBrotherBigbrother! all & all I wish them a happy Mariage!
 
Eliza ndiye alikuwa mshindi wa kweli wa ile big brother, kwani katoka na zawadi kubwa zaidi.
 
Wahindi kwa kupenda pesa..
Wachaga kwa kupenda pesa..
Wa nigeria kwa kupenda pesa....


Najiuliza huyo mtoto atakuwaje...............lol

Atakuwa mtafutaji vibaya mno!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Acha ujinga wewe,hamna mtu katika hii dunia ambaye hapendi fedha.Yawezekana wewe unaongoza n then unawatuhumu wengine kwanza umetawaliwa na ukabila ambao bb wa taifa aliupinga kwa nguvu zake zote.Woch out.

Punguza hasra mkuu.
 
Swala jamaa anasimama inatosha kuhitimisha neno la bwana ..ya mzungu ,myiramba ,mgosi aijalishi ndio maana wazungu wanaifwata africa na eliza si ubaya akaifwata uko nigeria..kila la kheri mama jitahdi aje kutujengea hata kanjia chetu kale cha kwenda kwa wazazi kwa rami kiduchu tu..karibu mukwe
 



Kwa kweli dada yetu Eliza ni mrembo, sio bure Kevin katia nanga forever.
 
Kilichounganishwa na mungu mwanadamu asikitenganishe. Nawatakia maisha mema yenye raha, amani, upendo na afya tele. Hongera maharusi.
 
10.jpg
 
chukua time huko!:spider:
jamani kimetokea nini tena hapo mbona naona kifurufumbi mnh na humu JF siku hizi kabla hata thread haijamaliza page watu wanaanza kutupiana vijembe napenda zije computer za kupitisha ngumi kwenye monitor
 
jamani kimetokea nini tena hapo mbona naona kifurufumbi mnh na humu JF siku hizi kabla hata thread haijamaliza page watu wanaanza kutupiana vijembe napenda zije computer za kupitisha ngumi kwenye monitor

hahahahahaaaaaaaa malaria sugu angekuwa keshaudedi,mie nilivyo muoga nisingekuwa naingia JF,kisa cha kutoka manundu lol,kule siasa ndio ingebidi waweke FFU manake fujo ni nyingi lol
 
Back
Top Bottom