Elizabeth ii 1971 coin

billz949

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
311
Reaction score
72
Wanajamvi nina coin hapa nimesikia ina thamani kubwa sana.Please yoyote anaejua tujuzane.Cheki picha kisha comment unachokijua.....ila iwe fact.
 
Jua Tu zile hela zinazosemwaga zinanunuliwa Kwa hela nyingi huwa ni kulingana na thamani ya madini yaliitengeneza hiyo coin tu

Sema matapeli huitumia kama mwanya wa kuwapigia watu

Kuwa mwangalifu ndugu!
 
Imebidi nicheke[emoji16][emoji16][emoji16].
Utakuja kutapeliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…