B billz949 JF-Expert Member Joined Jul 14, 2013 Posts 311 Reaction score 72 Jun 29, 2020 #1 Wanajamvi nina coin hapa nimesikia ina thamani kubwa sana.Please yoyote anaejua tujuzane.Cheki picha kisha comment unachokijua.....ila iwe fact.
Wanajamvi nina coin hapa nimesikia ina thamani kubwa sana.Please yoyote anaejua tujuzane.Cheki picha kisha comment unachokijua.....ila iwe fact.
Sirdirashy JF-Expert Member Joined Jan 26, 2014 Posts 3,243 Reaction score 3,047 Jun 29, 2020 #2 Hamna kitu hapo
dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 23,901 Reaction score 58,103 Jun 29, 2020 #3 Njaa mbaya sana
1 to 10 Senior Member Joined Apr 24, 2020 Posts 155 Reaction score 210 Jun 29, 2020 #4 Jua Tu zile hela zinazosemwaga zinanunuliwa Kwa hela nyingi huwa ni kulingana na thamani ya madini yaliitengeneza hiyo coin tu Sema matapeli huitumia kama mwanya wa kuwapigia watu Kuwa mwangalifu ndugu!
Jua Tu zile hela zinazosemwaga zinanunuliwa Kwa hela nyingi huwa ni kulingana na thamani ya madini yaliitengeneza hiyo coin tu Sema matapeli huitumia kama mwanya wa kuwapigia watu Kuwa mwangalifu ndugu!
Phlagiey JF-Expert Member Joined Oct 26, 2013 Posts 3,487 Reaction score 1,661 Jun 29, 2020 #5 Huko ulikosikia wanasema inathamani umesikia wanasema thamani yake ni kiasi gani?
mjingamimi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 42,209 Reaction score 51,004 Jun 29, 2020 #6 Imebidi nicheke[emoji16][emoji16][emoji16]. Utakuja kutapeliwa