Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ruru[emoji777]Huyu ruru sialisema yeye hataki mtu mwingine amuoe zaidi ya yule mmarekani mwimba miziki sijui wanamuita jastini beiba
Amahakikjela imemfunza kuwa hata hapa bongo waoaji wapo
Hahahah! Hapana comradeWewe ni mwanafunzi wa FaizaFoxy ??
Wewe acha hiyo, duh!Kanumba liked your post..
Ila Lulu usanii anauweza hasa anajiliza nini wakati sherehe aliandaa mwenyewe na pete aliyovalishwa walienda kuchagua wenyewe. Afu anafanya kama alishitukizwa?