Elizabeth 'Lulu' Michael achumbiwa na RDJ Majizzo

Elizabeth 'Lulu' Michael achumbiwa na RDJ Majizzo

Ila Lulu usanii anauweza hasa anajiliza nini wakati sherehe aliandaa mwenyewe na pete aliyovalishwa walienda kuchagua wenyewe. Afu anafanya kama alishitukizwa?
Hata mimi niko nashangaa anacholia ni nini hapo..
Maana hakuna hata element ya surprise kitu imeandaliwa siku nyingi..

Bongo movie ni shidah
 
Mwanaume niwe na wivu eti lulu kaolewa..
Kuwa serious kidogo..

Ninachoongelea ni maigizo ya kulia wakati kila kitu kilikua planned inawezekana yeye mwenyewe ndio aliplan sherehe kabisa
Ànalia mengi unajua kuna furaha na uchungu huja unashindwa jizuia akifikiria yule mwanaume kamvumilia mangapi ,kamfanyia vitu vingapii mpaka leo anahalalisha kwa aliyopitia lulu yupo sawa kulia
 
Kwa jinsi Bashite alivyolivalia njuga jambo hili, huyo Lulu isingekuwa jela angekuwa na office sasahivi kama yule mwenzake wa kisarawe
 
Swala LA kuchumbia ni sensitive sana Siku nitakayo chumbia sitamwambia mtu yoyote nataka iwe ya kushtukiza sio ya mipango kuwa
 
Tunakaa mkao wa kuskiza ubuyu!
Maskendo ndio kwanza yanaanza na hatimaye ..........!
 
Back
Top Bottom