Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,394
- 59,069
HahaIla Lulu usanii anauweza hasa anajiliza nini wakati sherehe aliandaa mwenyewe na pete aliyovalishwa walienda kuchagua wenyewe. Afu anafanya kama alishitukizwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahaIla Lulu usanii anauweza hasa anajiliza nini wakati sherehe aliandaa mwenyewe na pete aliyovalishwa walienda kuchagua wenyewe. Afu anafanya kama alishitukizwa?
Hawaamini macho yao!!Muda wake umefika wamewaacha makurumbembe wa mjini waendelee kudangaa!majizo kamtuliza sana Lulu
Bongo muvi wengi huko waliko wanalia Leo!
All the best!amepitia Mengi mnoo!!Mungu amsimamie huyu ndo Tanzania 's sweetheart sasa
Kuna lile jitu kubwa pia late ! Nalo liked the postKanumba liked your post..
Waendelee kudanga na show off waone km wataolewa wawaulize wenzao wote walioolewa waliolewaje!!!katoto ka 25 kanaolewa wao 30+ wapo tuuu!!![emoji3][emoji3][emoji3]Hawaamini macho yao!!
we kyuma hii thread inahusu mama au Elizabeth Michael 'lulu' ? Fungua thread titled 'mama yake worldboss ' then ongea huo ungese wako wotePole wewe unajua mpaka mama ako anakuzaa kashapigwa mkuyenge na watu wangapi?? Na sasa katulia au kwakua Huyo binti ni maarufu?
Ila Lulu anastahili hii furaha sasa kapitia magumu mengi mnoo Mungu amtangulieUsimpe gudu la pugi bana. Huyu haifai kupewa majina used. Tayari ana pigania kufuta jina la mjela jela orijino kuwa mrs.
Akipeleka ngamia mara paaap Bill anapropose #tutakoma
HakikaAtulie kabisa awe mke na mama bora, adumu kwenye ndoa yake milele na milele
Heeee!!![emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]we kyuma hii thread inahusu mama au Elizabeth Michael 'lulu' ? Fungua thread titled 'mama yake worldboss ' then ongea huo ungese wako wote
NkUNDU wa bibi ako
Yaani Wema sijui alishindwa nini jamani kupata mume na yeye...dalili zinaonekana atazeeka bila mume.Muda wake umefika wamewaacha makurumbembe wa mjini waendelee kudangaa!majizo kamtuliza sana Lulu
Bongo muvi wengi huko waliko wanalia Leo!
Na kalivyokua na akili hakukimbilia kujibebesha mimba kwanzaHawaamini macho yao!!
umichungulia ukaiona fupiKumbe huyo majizzo kafupi kama lulu mwenyewe [emoji15]
who is the ''NEXT''RIP Kapt. John Komba, RIP Stephano Kanumba
na mimi nimejiulizaSasa analia why
hahahahhahahaaa naona unataka kuleta bifu lingine sasaAll the best!amepitia Mengi mnoo!!Mungu amsimamie huyu ndo Tanzania 's sweetheart sasa