PreGE2025 Elizabeth Mambosho: Akina Kigaila walizoea kufanya biashara ya Siasa, lakini sasa duka limefungwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Elizabeth Mambosho Mjumbe wa mkutano Mkuu CHADEMA, aliyekuwa akimuunga mkono Freeman Mbowe katika uchaguzi mkuu wa CHADEMA amjibu aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Benson Kigaila adai wanaondoka kwenye chama kwa kuwa walizoea kufanya biashara za Siasa ila sasa Duka Limefungwa.

Watu aina ya Kigaila ndiyo wanasababisha watu wafupi wadharaulike. Kijamaa kimekula sana ruzuku na kumpitisha mkewe kuwa mbunge kwa vitu maalum kwa mlango wa nyuma hata hakina aibu.
 
Elizabeth Mambosho Mjumbe wa mkutano Mkuu CHADEMA, aliyekuwa akimuunga mkono Freeman Mbowe katika uchaguzi mkuu wa CHADEMA amjibu aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Benson Kigaila adai wanaondoka kwenye chama kwa kuwa walizoea kufanya biashara za Siasa ila sasa Duka Limefungwa.

Great speech,safi sana.

Ccm walivyo wabaya wanaiba uchaguzi waziwazi
 
Huu ndio ukweli.
Haiwezekani mkeo mbunge wa kufoji halafu wewe kiongozi. Halafu wanakuja kulialia eti wametengwa. Pumbavu kabisa, uchaguzi si umepata viongozi wengine?
Na mnyika alisema kuwa hawakutengwa waliambiwa waje kwenye kikao wakasema waachwe wapumzike
 
Elizabeth Mambosho Mjumbe wa mkutano Mkuu CHADEMA, aliyekuwa akimuunga mkono Freeman Mbowe katika uchaguzi mkuu wa CHADEMA amjibu aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Benson Kigaila adai wanaondoka kwenye chama kwa kuwa walizoea kufanya biashara za Siasa ila sasa Duka Limefungwa.

hakuwahi kua team mbowe huyu bidada mpotoshaji mropokaji :pulpTRAVOLTA:
 
Elizabeth Mambosho Mjumbe wa mkutano Mkuu CHADEMA, aliyekuwa akimuunga mkono Freeman Mbowe katika uchaguzi mkuu wa CHADEMA amjibu aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Benson Kigaila adai wanaondoka kwenye chama kwa kuwa walizoea kufanya biashara za Siasa ila sasa Duka Limefungwa.

Magufuli alikuwa akiwanunua viongozi wa upinzani moja kwa moja na kuwapa vyeo.

Lakini sijaona ama kusikia samia akinunua na kupachika cheo mtu kutoka upinzani.

Kina Kigaila na genge lake wamekosea sana kupiga mahesabu.

Kusema 'duka limefungwa', ni kweli limefungwa kabisa.
 
Hata muonekano tu kigaila anaonekana wa kuja. Juzi nimemuona millennium towers anatembea kama kaliwa na funza
 
Elizabeth Mambosho Mjumbe wa mkutano Mkuu CHADEMA, aliyekuwa akimuunga mkono Freeman Mbowe katika uchaguzi mkuu wa CHADEMA amjibu aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Benson Kigaila adai wanaondoka kwenye chama kwa kuwa walizoea kufanya biashara za Siasa ila sasa Duka Limefungwa.

You are very right , the market is closed. Nimekupenda ghafla.
 
Elizabeth Mambosho Mjumbe wa mkutano Mkuu CHADEMA, aliyekuwa akimuunga mkono Freeman Mbowe katika uchaguzi mkuu wa CHADEMA amjibu aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Benson Kigaila adai wanaondoka kwenye chama kwa kuwa walizoea kufanya biashara za Siasa ila sasa Duka Limefungwa.

Mbowe ametuchelewesha sana
 
BIdhaa hainunuliki
 
Back
Top Bottom