Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
FactElizabeth Mambosho Mjumbe wa mkutano Mkuu CHADEMA, aliyekuwa akimuunga mkono Freeman Mbowe katika uchaguzi mkuu wa CHADEMA amjibu aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Benson Kigaila adai wanaondoka kwenye chama kwa kuwa walizoea kufanya biashara za Siasa ila sasa Duka Limefungwa.
Watu aina ya Kigaila ndiyo wanasababisha watu wafupi wadharaulike. Kijamaa kimekula sana ruzuku na kumpitisha mkewe kuwa mbunge kwa vitu maalum kwa mlango wa nyuma hata hakina aibu.Elizabeth Mambosho Mjumbe wa mkutano Mkuu CHADEMA, aliyekuwa akimuunga mkono Freeman Mbowe katika uchaguzi mkuu wa CHADEMA amjibu aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Benson Kigaila adai wanaondoka kwenye chama kwa kuwa walizoea kufanya biashara za Siasa ila sasa Duka Limefungwa.
Nimecheka Kwa sauti sanaEti hata wahuni nao wanazeeka 🤣🤣
Ila CHADEMA Kuna vichekesho balaaNimecheka Kwa sauti sana
Great speech,safi sana.Elizabeth Mambosho Mjumbe wa mkutano Mkuu CHADEMA, aliyekuwa akimuunga mkono Freeman Mbowe katika uchaguzi mkuu wa CHADEMA amjibu aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Benson Kigaila adai wanaondoka kwenye chama kwa kuwa walizoea kufanya biashara za Siasa ila sasa Duka Limefungwa.
Mtu mweusi ana matatizo sanaHuu ndio ukweli.
Haiwezekani mkeo mbunge wa kufoji halafu wewe kiongozi. Halafu wanakuja kulialia eti wametengwa. Pumbavu kabisa, uchaguzi si umepata viongozi wengine?
Na mnyika alisema kuwa hawakutengwa waliambiwa waje kwenye kikao wakasema waachwe wapumzikeHuu ndio ukweli.
Haiwezekani mkeo mbunge wa kufoji halafu wewe kiongozi. Halafu wanakuja kulialia eti wametengwa. Pumbavu kabisa, uchaguzi si umepata viongozi wengine?
hakuwahi kua team mbowe huyu bidada mpotoshaji mropokajiElizabeth Mambosho Mjumbe wa mkutano Mkuu CHADEMA, aliyekuwa akimuunga mkono Freeman Mbowe katika uchaguzi mkuu wa CHADEMA amjibu aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Benson Kigaila adai wanaondoka kwenye chama kwa kuwa walizoea kufanya biashara za Siasa ila sasa Duka Limefungwa.
Magufuli alikuwa akiwanunua viongozi wa upinzani moja kwa moja na kuwapa vyeo.Elizabeth Mambosho Mjumbe wa mkutano Mkuu CHADEMA, aliyekuwa akimuunga mkono Freeman Mbowe katika uchaguzi mkuu wa CHADEMA amjibu aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Benson Kigaila adai wanaondoka kwenye chama kwa kuwa walizoea kufanya biashara za Siasa ila sasa Duka Limefungwa.
Hata muonekano tu kigaila anaonekana wa kuja. Juzi nimemuona millennium towers anatembea kama kaliwa na funzaMagufuli alikuwa akiwanunua viongozi wa upinzani moja kwa moja na kuwapa vyeo.
Lakini sijaona ama kusikia samia akinunua na kupachika cheo mtu kutoka upinzani.
Kina Kigaila na genge lake wamekosea sana kupiga mahesabu.
Kusema 'duka limefungwa', ni kweli limefungwa kabisa.
You are very right , the market is closed. Nimekupenda ghafla.Elizabeth Mambosho Mjumbe wa mkutano Mkuu CHADEMA, aliyekuwa akimuunga mkono Freeman Mbowe katika uchaguzi mkuu wa CHADEMA amjibu aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Benson Kigaila adai wanaondoka kwenye chama kwa kuwa walizoea kufanya biashara za Siasa ila sasa Duka Limefungwa.
Mbowe ametuchelewesha sanaElizabeth Mambosho Mjumbe wa mkutano Mkuu CHADEMA, aliyekuwa akimuunga mkono Freeman Mbowe katika uchaguzi mkuu wa CHADEMA amjibu aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Benson Kigaila adai wanaondoka kwenye chama kwa kuwa walizoea kufanya biashara za Siasa ila sasa Duka Limefungwa.
BIdhaa hainunulikiElizabeth Mambosho Mjumbe wa mkutano Mkuu CHADEMA, aliyekuwa akimuunga mkono Freeman Mbowe katika uchaguzi mkuu wa CHADEMA amjibu aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Benson Kigaila adai wanaondoka kwenye chama kwa kuwa walizoea kufanya biashara za Siasa ila sasa Duka Limefungwa.